music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Msanii toka WCB WASAFI, almaalufu Mbosso Khan anaongoza kwa wimbo wake mpya kununuliwa nchini Kenya. Wadau tumpe pongezi nyingi.
ashamaliza toka wa 6Anajitaidi lakin naona analipa deni la gari