Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
26,779
49,645
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa. Zinanikumbusha life ya shule boarding enzi hizo tukienda kucheza disco shule za boys. Karibuni
 
Back
Top Bottom