Kumbe wasanii hawa ni ndugu ?

kwenzi

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
669
666
Mavoko,Tin White na Dokii nasikia ni ndugu wa damu baba mmoja mama mmoja.

Kama ni kweli basi kuna familia zimebarikiwa vipaji.

1483720896250.jpg
1483720966390.jpg
1483720985456.jpg
 
Tin white ni mchekeshaji

Dokii ni mwanamziki na ni mubongo movie
 
Dokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu, ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.
Nilikua sijui kama ni ndugu hawa jamaa, infact simfahamu huyo mwingine

Huyu jamaa nilikuaga namuona ona kwenye video na yule mchekeshaji wa zamani mno, anaitwa mau.
 
Back
Top Bottom