miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,718
huyu ni msanii aliyetamba na kangoma chake iliyokuwa inaimbwa ...aaah taiti aaah taiti .mwenye kujua naomba aniambie
ha ha ha poaMkuu hilo jina lako kiboko
hivi ndo yule aliyekuwa anaimba kitambo au ni mijina tuHk meneja wa snura na
Yy ndo anang"oa ule mlima
Wa snura
Nadhani ni majina tuhivi ndo yule aliyekuwa anaimba kitambo au ni mijina tu
IrrelevantMkuu hilo jina lako kiboko
HK wa Snura (Mweupe) na HK mwanamziki kitambo (Mweusi) ni watu tofauti.Hk meneja wa snura na
Yy ndo anang"oa ule mlima
Wa snura
dhuuu!! Kumbe kuna mwanamzk tenaHK wa Snura (Mweupe) na HK mwanamziki kitambo (Mweusi) ni watu tofauti.
Mi nikajua ndo huyohuyoWanamuziki/Wasanii wanaotumia hilo jina la HK wapo wengi
1.Kuna "HK" aliyeimba huo wimbo
2.Kuna HK aliyeimba wimbo wa Happy Birthday featuring Dully Sykes.Huyu baadae alibadilisha jina na kujiita "H KIZZO" baada ya kuona majina ya HK yamekua mengi
3.Kuna "HK" meneja wa msanii Snura wa majanga.
4.Kuna "HK" yule director wa video za wasanii wa Bongo Flava.Hassan Kundamayi kaongoza video kama Vumilia-Tatizo Umaskini,Chid Benzi -Dar Es Salaam Stand Up n.k
Asante mkuu unakumbuka jina la huo wimboWanamuziki/Wasanii wanaotumia hilo jina la HK wapo wengi