Diamond amtupia mabegi nje Kim Nana, penzi lao lafika ukingoni.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kim nana limefika mwisho baada ya mwanadada huyo kutupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz.

Mwanadada huyo ambae nae alikuja kwa kasi bila kuangalia wanawake waliopita kwa Diamond walikuwa katika hali gani alijikuta akijihusisha kimapenzi na Diamond tena bila kuogopa penzi lao lilikuwa wazi kwa muda mfupi tu.

Mwanadada hyo alitupiwa mabegi yake nje na kuamua kuita bajaji na kuamua kurudi nyumbani kwake kwani tayari alikuwa alishahamia nyumbani hapo madale.

Kimnana hatokuwa mwanake wa kwanza kuwa na uhusiano na diamond na kufanyiwa udhalilishaji huu kama inavyodaiwa.

Kimnana ambae anajihusisha na mambo ya video vixen ameweza kuvuma kwa muda mchache aliokuwa na Diamond na gafla imekuwa kimya.
 
Mabilionea wenzako wanatekwa wewe unaleta umbea huku nenda kakuze uchumi Wa viwanda
 
Mpaka ziwakae sawa akili zao, maana kama kupewa onyo washapewa, kama kuona mifano kwa wanawake wenzao waliodharauliwa na kunyanyaswa na diamond basi washashuhudia. Sasa wanachofata nini hasa? Kiki au hela?

Unaweza kukuta huyo mdada alikua na mwanaume aliempenda sana ila alivopata nafasi ya kugegedwa na diamond akamtema mwanaume wake.

Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom