Watch "KING MONANDA - malwedhe challenge #IdibaChallege #students challenge" on YouTube

eastmea

Senior Member
Jul 28, 2018
159
133


Kwenu wadau hivi hivi hii style ya kujiangusha kutoka south Africa mmeipokeaje?? Nimeangalia hawa wanafunzi nikajiuliza tukiendelea hivihivi basi tutapokea mimba nyingi maana wanaana sio kwa kuacha mapaja njenje hivo
Kunakoelekea tutaanza kupokea vifo vya watu wakijirusha magorofani wakicheza hii style
 
Back
Top Bottom