Mmiliki wa WCB na Wasafi Media ni Joseph Kusaga?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
habari wadau ni siku nzuri ya mapumziko ya kuzaliwa kwa mtume Mohhame Sw..nawatakia sikukuu njema.

Moja kwa moja kwenye mada,kiukweli napata ukakasi sana juu ya hii taharifa inayovuma sana kwenye mitandao ya jamii,WCB lebbel,na Wasafi media ya ni ya kusaga.

BInafsi mara ya kwanza kusikia hii taharifa niliona kwenye page ya IG M kimambi mpenda matusi na mtoaji wa taharifa ambazo uwa zinatrend sana bila kuthibitishwa na wengi wanaziamini.

Nimejaribu Kujiuliza binafsi juu ya uvumi huu kama ni kweli au lah,sikutaka kuwa km wadu wengi ambao wanaamini kwa 100%.,uwa nimefuatilia jambo ili kupitia marafiki wa diamond na watu wa karibu,.wengi wao wanadai ni uzushi tu mtandaoni,.

Inawezekana kusaga akawa na hisa ilo ni jambo la kawaida hata kampuni kubwa km Vodacom,Tigo na mengine mengi watu wahisa zao ambao nisehemu ya wamiliki.,tofauti na jambo ili ambapo y=tunaaminishwa kusaga anamiliki kwa 90+,wengine ni wapambe tu.

Diamond ni msanii mkubwa sana ukifuatilia haso zake ni ngumu sana kuamini km kampuni tunazoamini km ziko chini yake si za kwake.,km unamfuatilia Diamond utagundua hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya mi binafsi naamini anauwezo wa kumiliki hisa kubwa 70+ coz uwezo wa kipesa anao juzi hapa kupitia sakata la BASATA amesema hafanyi show nje bila kulipwa USD 70000 ni kama mil165 ya madafu,sasa jiulize mwaka huu kapiga show ngapi?

Kinachonishangaza hata mtandao wa kuuza nyimbo wanasema nao si wake niwa Kusaga,hivi ni kweli hata hicho kidogo anashindwa kumiliki?

Kwa diamond alivyo na misimamo yake tangu mwanzo hivi inawezekana akubali kirahisi kuuza tittle ya Wasafi ambayo ameipambania mda mrefu kipindi kile km unakumbuka alianza kugombana na produder wake wa nyimbo ya Kamwambie kisa hiyo tittle ya wasafi..

Nakubali na sikatai ili ufanikiwe katika biashara kubwa lazima ushirikiane na watu ila sitaki kuamini ili la Diamond kukuali ampe kusaga 70+

NITARUDI
 
habari wadau ni siku nzuri ya mapumziko ya kuzaliwa kwa mtume Mohhame Sw..nawatakia sikukuu njema..

Wekaaaa KWENYE files
 
ba

badaye tutaambiwa media zote za huyo bwana
 
Yan ni kama vile umezoea kuniona na tecno mara paap namiliki iphone x alafu unasema ni feki et siwez kupata original bei yake kubwa wakati hujui hustle zangu
 
Acha kuzuga uchuzi wew uyo josef kusagana na wcb wapi na wapi ? Uharo wako wakipumba urejeshe kwa kahaba mamngi kimavi apa sio sehemu za mapunga kama wew ..we are the great thinkers nigger
 
Back
Top Bottom