Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa wafuatiliaji wa muziki mtakubaliana na mimi,naona spidi ya Mboso inazidi kushika kasi huku akipenya kila engo ya bongo,hii inamfanya akubalike vizuri sana na kuchukua nafasi ya Aslay ambaye...
9 Reactions
44 Replies
20K Views
Kiukweli sikutaka kuliweka hili wazi nimevumilia weeeeee nimeshindwa nimeona acha niseme tu ukweli. Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo ,na ni...
4 Reactions
67 Replies
11K Views
Genius wa boxing Floyd Sinclair Joy Mayweather azidi kuonesha jeuri ya fedha kwa kuonesha dege lake la tano kulimiliki kwa sababu ameona ndege nne hazimtoshi yeye pamoja na wapambe wake. Vilevile...
0 Reactions
166 Replies
15K Views
Kwa ufupi tu tazama sana picha zako za udogoni mapozi Na the way ulivyokuwa una behave alafu oanisha Na maisha yako ya sasa utagundua vitu vingi, Yale maisha/Michezo uliyokuwa Unaishi udogoni...
2 Reactions
36 Replies
10K Views
Mahakama ya Kinondoni yamkuta na hatia mwanamuziki nguli wa kizazi kipya Judith Wambura a.K.a Lady Jay Dee kwa kumkashifu mmoja ya wakurugenzi wa Redio ya Clouds Fm. Aidha Mahakama hiyo imemtaka...
8 Reactions
64 Replies
27K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kusitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) kuanzia leo tarehe 28/02/2019 Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
118 Replies
16K Views
Habari Ma GT wa JF E bwana kuna tetesi yule muanzilishi wa zeutamu blog washamdedisha,je wadau mna taarifa zozote? Nawasilisha.
2 Reactions
69 Replies
18K Views
Waymaker” By Sinach Crosses 100 Million Views On Youtube! . Nigerian Gospel music icon, Sinach has crossed the 100 Million views mark on Youtube for the song “Waymaker”; a feat only 2 other...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi...
5 Reactions
87 Replies
10K Views
Good day Fareed Kubanda! Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu...
84 Reactions
114 Replies
21K Views
Miaka ya nyuma kidogo huyu Amber Lulu alikuwa changudoa mchafu mchafu anadanga hapo ambiance ,miguu haieleweki imekomaa komaa ,sura nzito kama futari ya magimbi, tumbo kubwa,maziwa yametepeta kama...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned So Kama unampenda warumi na mko...
99 Reactions
36 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu Akipiku record...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Sifahamu nianzie wapi na habari hii. Tulipokuwa wadogo jirani yetu alikuwa mama mrembo tukizoea kumwita auntie. Auntie alikuwa mzaliwa wa mikoa yenye wanawake warembo. Auntie aliumbika, alikuwa...
25 Reactions
36 Replies
4K Views
Kiitikio.... Oh katikati kuna nini Kuna watu wana party Oh kati kati kuna nini Kuna watu wana dance dance dance
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni sana na msiba wa Kibonde. Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele...
3 Reactions
100 Replies
19K Views
Salute.. Aisee naandika haya toka moyoni kabisa ndaaani kulee. Nampenda sana Lucky Dube nyimbo na mfumo wa maisha yake. Nimekua nasikiliza nyimbo,interview na shoo zake zinanivutia sana. Katika...
12 Reactions
163 Replies
21K Views
Mtangazaji maarufu Ephraim Kibonde amefiwa na mkewe usiku huu katika hospitali ya Hindu Mandal. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Amen. ====== Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi...
11 Reactions
233 Replies
74K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…