Wimbo mpya wa Alikiba "kadogo"ndo wimbo pendwa kwa sasa

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,119
1,095
Mm siyo shabiki wa huyu jamaa lakini mwenye hii ngoma salute sana kaua vibaya sana, huchoki kusikiliza. Akiendelea kutoa ngoma kama hii mfulululizo atakamata sana soko la mziki hapa bongo.

Salute sana king kiba kwny hii ngoma umeumiza sana. Ngoja tusikilizie upande wa pili (WCB) kama wataweza kutoa ngoma itakayoweza kuupiku huu wimbo.
 
WCB mwaka uu walishatoa ngoma funika kama zoote mwaka huu alikiba ngoma yake itakua ya msimuuu tuu ngoma kama #kwangaru ndio nyimbo bora mwaka huu ii inaweza ikawa haina mpinzani asee

I agree...!!!! Kwangwaruuu bado fit sana.
 
Sijui kwann maana huku kwetu sio vilabuni,baa na bodaboda karibu wote ni diamond,harmonize na rayvanny mpaka huwa nasahau Kama Kuna wasanii wengine
 
Sijui kwann maana huku kwetu sio vilabuni,baa na bodaboda karibu wote ni diamond,harmonize na rayvanny mpaka huwa nasahau Kama Kuna wasanii wengine
Vilabuni+kelele za walevi......baa+kelele za wanywa pombe......boda boda+kelele za ekzost =0......huwezi kusikikia wimbo mzuri
 
Huyu jamaa wa tetema ametisha mbaya mbovu, halafu never never mtoto wa mtwara ni kila kona
 
Huyu jamaa wa tetema ametisha mbaya mbovu, halafu never never mtoto wa mtwara ni kila kona

Man, jana nilikuwa nilikuwa kwenye duka kubwa la electronics, Media Markt, The Hague. Nikasikia wanapiga huwo wimbo wa Tetema. Nikaona kweli washkaji washatoboa mpaka maeneo.
 
Back
Top Bottom