Young Dee ndani Ya USA

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Sitaki kuamini hii Ndo Mara ya kwanza young Dee anaingia USA, maana sio kwa kutupostia mpaka VISA , kweli ushamba mzigo , Sasa sijui Na huko kaenda kufanya show Au ndo baecation.

Siku hizi naona young Dee mambo yake si haba, soon na yeye mtamuona anaanza kuchafua passport kama ommy dimpoz, eeh anajitahidi. Na hii ni trailer soon mtasikia young dee kafungua duka la nguo , maana danga lake si mchezo.

Bora tu udange mwenznagu , maana hip hop hailipi, na ujitahidi Sasa kulea ndoa , maana na wewe soon utaachwa kama naniliu na brevis uporwe na ufukuzwe kwenye ghorofa hlo, sijui utaenda wapi mjin hapa
IMG_6378.JPG
. Kwanza maisha yenyewe magumu, kwan kutoa Tigo sh ngap?🤣, na USA ungeishia kuisikia kwenye bomba
 
Hii mitandao inadhalilisha sana Watu. Anybody can throw anything to anybody, no need of proof.

Kuna Kijana mmoja mtangazaji alishawahi mara kadhaa kutuhumiwa lakini kuna siku mmoja wa ndugu zangu akaelezwa na mmoja wa Wafanyakazi wenzie na huyo mtuhumiwa namna tuhuma zilivyoanza!

Kikulacho kiungoni mwako, ukifanikiwa ni wachache sana watakusema vizuri. Kama hufahamiki mjini utapewa sifa za mwizi, freemason nk. Ukiwa Mwanamuziki au mtangazaji wa kiume tuhuma ya haraka ya kukuchafua ni ushoga.

Sisemi hakuna machafu lakini sisi Wabongo tunajuana. Hakuna Mtu atafanikiwa bila kupewa sifa mbaya na nyingi uzushi tu.
 
Back
Top Bottom