Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Shoga kaenda Dubai hiyo caption sasa ukurasa mzima et kujifanya unaonewa wivu, mxieew , ushamba tu unakusumbua, Dubai yenyewe umefikia Deira huko mashenzin, kujifanya unaendesha Lamborghini Mxiee...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.
2 Reactions
158 Replies
41K Views
Naona kama watu wamezidi kumuandama msanii wetu pendwa na self proclaimed king of bongo fleva Mr. Aki kiba.. Watu wanamzonga zonga kisa tu Dee lebo yake inapaa kwa mwendo kasi wakati Ali eti...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke...
0 Reactions
45 Replies
14K Views
Nmefuatilia mahojiano yaliofanyika Cloudfm katika kipindi cha XXL mavoko aliongea kuusu tetesi zinazo zagaa mitandaoni zinazo sema kua kaomba msamaha arudi kwenye lebo yake ya zamani W Adam...
7 Reactions
91 Replies
14K Views
Msanii wa muziki kutoka katika 'Label' ya WCB Wasafi Raymond amefunguka na kusema kuwa ilifika wakati alikata tamaa kabisa juu ya maisha hususani maisha ya muziki baada ya kusota kwa muda mrefu...
5 Reactions
48 Replies
11K Views
Kilichobaki ni kuanza kuact porn tu maana idea ya kiki ni ileile na safari hii imegoma rekodini video kabisa ya mapenzi apo ndo tutashituka. Davido anatrend Africa nzima kwa ngoma kali lakini...
13 Reactions
106 Replies
12K Views
Inaitwa east zoo queen 🔥🔥
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi asallam aleykum Kabla ya yote ninaomba niweke wazi kwamba Mimi nilikuwa shabiki namba mmoja wa mastaa uchwara wa Tanzania hasa wema sepetu (kwa jina maarufu nyumbu au bongolala)...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mtoto wa Davido anamafuta yake yanaitwa Aurora . Mtoto wa Davido Amefanya onyesho hilo huko Nigeria na kutambulisha mafuta yake hayo mapya. Nahizi ndizo picha za yeye na wazazi wake. Mtoto huyo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hapo vip!! Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa. Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote...
35 Reactions
220 Replies
23K Views
R.Kelly ameshtakiwa kwa makosa 11 ya unyanyasaji wa kingono, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchini Marekani. Mahakama imeripotiwa kuonyesha kuwa vitendo hivyo vilifanywa dhidi ya watoto wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila show ulaya america au kusini mwa jangwa la sahara, why huwatafutii show misri,algeria,morroco, irani, saudi arabia au hata omani?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Je, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke? HBC Kwanza Unit Kikosi cha Mizinga TMK Manzese Crew Solid ground Family Diplomats Nako2Nako...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba. Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba...
1 Reactions
138 Replies
31K Views
Msanii Diamond platnumz azua gumzo mtandaoni baada ya post maneno haya huko Twitter Je,nani mlengwa hapa?
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Kuna nyumba ilikuwa sokoni inayofanana na ile Diamond amedai kuinunua South, zinafanana tu ama ni ile ile? Hilo ni swali ambalo hadi sasa wengi wamekuwa wakijiuliza, lakini sasa Bongo5 ina jibu la...
7 Reactions
61 Replies
18K Views
Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja...
1 Reactions
92 Replies
16K Views
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop " wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
"Bilnass hawezi kufanana na mimi, mara ya kwanza kusikia jina hilo nilijua ni mabasi mapya ya Mtwara. Hawezi kujiita staa wakati hata Kibaha hajulikani, yeye atulie tu kukiwa na 'birthday' za...
3 Reactions
14 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…