Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
788
Points
1,000
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
788 1,000
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
 
Z

Zigidii

Member
Joined
Mar 12, 2018
Messages
38
Points
95
Z

Zigidii

Member
Joined Mar 12, 2018
38 95
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
 
Ramadhan James

Ramadhan James

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Messages
1,340
Points
2,000
Ramadhan James

Ramadhan James

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2015
1,340 2,000
Mosi: Wewe ndio mshamba, Kama Msomi unapaswa kushambulia hoja ya Nikki wa Pili kisomi na kwa hoja ili wafu Safahamu sehemu ambayo kakosea sio kumshambulia Nikki a Pili mwenyewe!
Pili : Umesema wewe ni Mkristo, nakujibu hivi yawezekana Mungu mwenyewe ndio Mwanzilishi wa mfumo dume ka kuwa alimuumba Mwanaume kwanza kisha ndio Mwanamke na hata pa alitumia Mitume/Manabii wengi wa Kiume kuliko wa Kike!
Tatu: kwa kusoma hoja namba mbili, yawezekana Yesu pia alichagia kukua na kuenea kwa mfumo dume baada ya Mungu kuanzisha kwa sababu nae alitumia na alichagua Mitume 12 wote wakiwa Wanaume, wale wanawake Walikua ni Wafuasi sio Mitume.
Mwisho: Anza kuelewa kwamba Biblia na Quran sio Utamadumi, Mila wala za Kiafrika au Baadhi ya Mabara hivyo Nikki ana haki wa kuhoji hayo yaliyoandikwa kwenye hivyo Vitabu!
 
Z

Zoe Laville

Senior Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
127
Points
250
Z

Zoe Laville

Senior Member
Joined Jan 3, 2019
127 250
Japokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.

Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.

Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
 
dark angel

dark angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
2,117
Points
2,000
dark angel

dark angel

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
2,117 2,000
Japokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.

Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.

Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
Hivi kwanini wengi mkitaka kumkosoa mtu mnaanzaga na mazingira kama "japo kuwa natokea Arusha lakini..,japo kuwa Mimi ni mkristo/mwislam lakini, au Mimi siyo shabiki wa Fulani lakini...nk"

Huwa mnaogopa nini au mnamwogopa nani ? Hadi kuanza kujitengenezea mazingira ya hivyo?
 
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
3,984
Points
2,000
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
3,984 2,000
Nikki wa Pili yupo sahihi, sema ni ushamba wa Watanzania tu kuhusu hizi Dini na vitabu vyake

Wanafikiri vitabu vya Dini vimeshushwa mbinguni kumbe tu viliandikwa na wanadamu wa kipindi hicho katika hatua za kujaribu kuleta ustaarabu na haki Duniani

Leo hii ukikosoa badala ya kukujibu kwa hoja wanakushambulia mara unakufuru, unajiona umesoma n.k
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,613
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,613 2,000
Japokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.

Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.

Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
Hajakuomba umkubali.

Kawakubali wazazi wako.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,326
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,326 2,000
mpaka huwa nabaki kumshangaa. Huyu jamaa why anapenda kujisifu sifu kasoma. Na waliosoma haswaa sijui ndio kwa kusemea hawana?
ana kamasters ka development studies toka hapo udsm,sasa sijui angekua na masters ya medicine ingekuaje!
 
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
788
Points
1,000
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
788 1,000
ana kamasters ka development studies toka hapo udsm,sasa sijui angekua na masters ya medicine ingekuaje!
Jamaa mpumbavu Sana yule,na ujue mpumbavu anawafuasi katika jambo la kipumbavu soma hizi comments ,utaona, leo hata akianzisha jambo lolote,hauwezi kosa wafuasi, mkumbuke hata Nabii Tito wa Shetani, alikuwa na wafuasi, kwa hata hili na Niki wa pili utakuwa na wafuasi wake.Leo nabii Tito ametoka na kukiri yakwamba alikuwa Chizi, sasa imagine, hivyo hata hapa usoshangae watu wakimuunga mkono Nick2
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
8,585
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
8,585 2,000
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Jamaa anajiona ana akili kubwaz ...na watu wanamuaminisha hivyo....kumbe bonge la kiazi...I think waelewa wamenielewa
 
magode

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Messages
1,882
Points
2,000
Age
50
magode

magode

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2014
1,882 2,000
Mshamba ni wewe uliyejifungia ndani ya box. Hv kosa la Nikki wa pili ni nini hapo!?? Hebu jibu hoja yake. Nikki amesema Biblia kwa sababu iliandikwa na wanaume iliandikwa kwa kuwapendelea wanaume ambao ndo mfumo dume anaousema Nikki.

Me nakubaliana naye na kuna ushahidi mkubwa tu kwenye hilo kuthibitisha kuwa Biblia ina mfumo dume. Mfano mojawapo,Biblia inamlinda mwanaume kwenye uzinzi na neno uzinzi kwenye Biblia linamhusu mwanamke tu. Lkn kasome pia injili ya mathayo. 1:1-16. Soma hapo ukoo wa Yesu waliotajwa wote ni wanaume yaani km vile kile kizazi kilizaa wanaume pekee. Soma pia Luka.6:12-16. Yesu wakati anachagua mitume miongoni mwa wanafunzi wake na kuwapa jina Mitume,alichagua wanafunzi 12 wote wanaume. Biblia nzima imejaa mfumo dume.

Kwenye Sheria za Mussa yaani Torati ni mwanamke pekee ndo alikuwa anapigwa mawe kwa uzinzi lkn si mwanaume.
 
Forum statistics

Threads 1,294,032
Members 497,789
Posts 31,162,867
Top