Habarini.... Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient yaani ameshakuwa mgonjwa wa akili....hili tatizo kama likimzidia tusishangae akapewa Reffaral kwenda...
www.jamiiforums.com