Kikao cha dharura cha mashabiki wa WCB

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,450
21,142
Wapenzi wa WCB wote tukutane hapa tutete mawili matatu kuhusu huyu bwana mdogo Rajabu (Harmonize).

Binafsi nimesikishwa sana jinsi alivyobadilika, amejaa kiburi ,majivuni na kujiona yeye ndio yeye na yeye ndiye mfalme wa bongo fleva hivyo anataka kujitoa WCB ili apimane ubavu na Diamond Platnums Simbaaaa.

Harmonize anajisahaulisha kwamba anamuiga Diamond Platnums kuimba na hata baadhi ya nyimbo ambazo alipaswa Diamond Platnums kushirikishwa Diamond alikuwa anampa nafasi hiyo Harmonize mfano wimbo wa Inde wa Dully Sykes.

Harmonize amesahau wema wote aliotendewa na Diamond Platnums na timu nzima ya wasafi eti kwa sasa anaona wasafi inambana bana asiweze kutusua kimataifa daah ama kweli maskini akipata matakoo hulia mbwata.

Harmonize huyu huyu ndiye alikuwa akilia dar live mpaka kushindwa kuendelea kuimba pindi alipompandisha Diamond Platnums kuimba wimbo wao wa kwang'aru maana alikuwa anakumbuka jinsi alivyokuwa akidhalilika lakini Diamond Platnums alimshika mkono na kumfanya kuwa mtu maarufu leo hii amesahau yote.

Harmonize anajidanganya anamashabiki wengi jambo ambalo ni ndoto za alinacha, Harmonize hana mashabiki bali anaungwa mkono tu na wapenzi wa WCB maana hana kiwango cha kuimba kabisa.

Kinamchomdanganya zaidi huyu mmakonde ni ile kukutana na viongozi wa nchi mara kwa mara kwa sasa na kuhaidiwa atasaidiwa kimuziki anahisi amemaliza kila kitu hata akitoka wasafi atasaidiwa na viongozi wa nchi, ninasema anajidanganya kwa sababu aangalie wanamuziki wenzake waliomtangulia wameshaenda ikulu mara kibao na kupewa ahadi kedekede lakini kiko wapi?

Hao bongo muvi kila kukicha wanajipendekeza kwa viongozi lakini mbona tasnia yao haiipigi hatua.

Sasa kilichobaki huyu dogo ni kumuonesha kwamba yeye si kitu ,na hata hivyo vigari alovyowanunulia wazazi wake ni juhudi za wasafi, hata huyo Sara anayemtegemea asingempata kama asingekuwa wasafi maana angekuwa hajulikani mpaka leo.

Sasa wapenzi wote wa WCB tumkanyage kanyage huyu jamaa mpaka jina la Harmonize litokomee abaki na jina lake la Rajabu.

Kwa kuanza tunaanza kumu unfollow insta, tuna unsubscribe channel yake , hatusapoti kazi zake halafu tuone waliomdanganya watamsaidia nini.

Screenshot_20190822-113136~2.jpeg
 
Kwani ukinitendea wema ni lazima nibaki kwenye kampun yako..hio sio guarantee..
Mwacheni atafute pesa na maisha yake..
Wewe kunisaidia Mimi sio guarantee nikufate kama kuku
Sawa na wewe ukasomeshwe na anko wako then aseme uendelee kukaa kwake wakati muda wako wa kujitegemea umeshafika
 
Kama nyinyi ndo mmempandisha hadi hapo kwanini mnaumia?
Muacheni atadondoka kama nyie ndo mmemshikilia.

Tujifunze kuacha watu wajitegemee ili waajiriwa wawe wengi.

Harmo akifanikiwa
Atakuwa na studio yake
Dancers wake
Mameneja
Dereva
Wapishi

Hao wote wataingiza hela kupitia yeye.

Tuache chuki

Yeye kakubali kuwalipa hela ili muachane hivyo sioni sababu ya nyinyi kuendelea muandama.

Ukute hana tatizo na Dai ila hao wafitini ndo tatizo.

Kingine ni kuwa Harmo anajua nje ndani ya mliyokuwa mwafamya kuwaumiza wengine anajua atayakabiri vipi.
Sio mjinga kuona Mavoko kachomoka na kufeli afu na yeye achomoke hapo anajua atatokaje na ndo maana kawaandikia barua ya kuvunja mkataba.

Labda kilichowauma ni jeuri ya yeye kuuvunja mkataba maana atatakiwa kuwalipa kiasi fulani ili awe huru.

Mavoko bado yuko ndani ya mkataba ndo maana hawezi fanya kitu.

Nadhani kwenye uvunjaji Harmo atapendekeza nyimbo zake ziwe zake
 
Kwani kasema anajitoa ili ashindane na diamond
Wapenzi wa WCB wote tukutane hapa tutete mawili matatu kuhusu huyu bwana mdogo Rajabu (Harmonize).

Binafsi nimesikishwa sana jinsi alivyobadilika, amejaa kiburi ,majivuni na kujiona yeye ndio yeye na yeye ndiye mfalme wa bongo fleva hivyo anataka kujitoa WCB ili apimane ubavu na Diamond Platnums Simbaaaa.

Harmonize anajisahaulisha kwamba anamuiga Diamond Platnums kuimba na hata baadhi ya nyimbo ambazo alipaswa Diamond Platnums kushirikishwa Diamond alikuwa anampa nafasi hiyo Harmonize mfano wimbo wa Inde wa Dully Sykes.

Harmonize amesahau wema wote aliotendewa na Diamond Platnums na timu nzima ya wasafi eti kwa sasa anaona wasafi inambana bana asiweze kutusua kimataifa daah ama kweli maskini akipata matakoo hulia mbwata.

Harmonize huyu huyu ndiye alikuwa akilia dar live mpaka kushindwa kuendelea kuimba pindi alipompandisha Diamond Platnums kuimba wimbo wao wa kwang'aru maana alikuwa anakumbuka jinsi alivyokuwa akidhalilika lakini Diamond Platnums alimshika mkono na kumfanya kuwa mtu maarufu leo hii amesahau yote.

Harmonize anajidanganya anamashabiki wengi jambo ambalo ni ndoto za alinacha, Harmonize hana mashabiki bali anaungwa mkono tu na wapenzi wa WCB maana hana kiwango cha kuimba kabisa.

Kinamchomdanganya zaidi huyu mmakonde ni ile kukutana na viongozi wa nchi mara kwa mara kwa sasa na kuhaidiwa atasaidiwa kimuziki anahisi amemaliza kila kitu hata akitoka wasafi atasaidiwa na viongozi wa nchi, ninasema anajidanganya kwa sababu aangalie wanamuziki wenzake waliomtangulia wameshaenda ikulu mara kibao na kupewa ahadi kedekede lakini kiko wapi?

Hao bongo muvi kila kukicha wanajipendekeza kwa viongozi lakini mbona tasnia yao haiipigi hatua.

Sasa kilichobaki huyu dogo ni kumuonesha kwamba yeye si kitu ,na hata hivyo vigari alovyowanunulia wazazi wake ni juhudi za wasafi, hata huyo Sara anayemtegemea asingempata kama asingekuwa wasafi maana angekuwa hajulikani mpaka leo.

Sasa wapenzi wote wa WCB tumkanyage kanyage huyu jamaa mpaka jina la Harmonize litokomee abaki na jina lake la Rajabu.

Kwa kuanza tunaanza kumu unfollow insta, tuna unsubscribe channel yake , hatusapoti kazi zake halafu tuone waliomdanganya watamsaidia nini.

View attachment 1187405
 
Pole sana, mwacheni aende
 
Back
Top Bottom