Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sawa na mada tajwa hapo juu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa sie wapenzi wa Ndomo,yawezekana itachukua muda mrefu sana kulisahau hili tamasha la fiesta 2014 maana limekuwa kama mkuki kuchoma kwenye kidonda,wakati mashabiki wake tukijua na kuamini...
4 Reactions
77 Replies
12K Views
Role Models ni moja kati ya vitu muhumi sana katika kuelekea kwenye Kutimiza ndoto au malengo Uliyojiwekea. Role Model ni Mtu ambae anaku'inspire na unamwangalia kama mfano kutokana na kile kitu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu tuongee kidogo tunajua fika dili za matangazo zina vigezo vingi mpaka kuzipata. Kigezo kimojawapo ni kuhusianisha product na balozi wa product. Mfano tunategemea dili ya mapishi au chakula...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba. Ndoa ya King Kiba...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
HUWEZI KUSHINDANA NA WANADAMU 1. Ukiwa single watakuuliza, kwanini huna Girlfriend au Boyfriend? 2. Ukiwa na mchumba, watahoji mmekaa sana mtaoana lin? 3. Ukioa utasikia, mbona hamzai nyie?sisi...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Ngoma yako ya Taa Kali Sana braza, hongera kwa kurudi kivingine. Sometimes ngoma za mapenzi zinatuchosha Sana sisi mashabiki. Nyimbo Kama hii ya Taa inatupa nafasi nyingine ya kujinyenyekeza kwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi Kim Kardashian na Kanye West. Napenda sana hii couple wanapendana sana pia wanapendezana pamoja kim ana mpenda sana Kanye na Kanye vile vile. Siku nikija kusikia hii couple imevunjika...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Share the wealth son! Mario Balotelli's mum gets job as £6-an-hour office cleaner to make ends meet Manchester City star's mum Rose polishing desks and living on the estate from Shameless while...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
RASMI: HARMONIZE AFUNGA NDOA NA SARA Harmonize usiku wa jana amefunga ndoa na mpenzi wake mwenye asili ya Italy "Sara" katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Pichani Mama Sara, Harmonize na...
7 Reactions
58 Replies
14K Views
what is this? wote uliowataja hapo wana matatizo sana tu, Tyson alikuwa mwehu kwa pesa alizopata baada ya kutoka hood tena akiwa mdogo akafanya maujinga sana na yeye mwenyewe alikiri hilo later...
3 Reactions
37 Replies
10K Views
Habari wakuu Naomba kujua kwanini wasanii wengi humuita P funk Khalfan wakat nnavojua yye anaitwa Paul
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida. Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Harmorapa amesema jana alitimiza miaka 9 tangu alipozaliwa September 13 mwaka 2010.. Huyu Chalii ana njaro zaki'whack ile laana. @NgarenaroBoy.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hey Guys,, I hope mko Poa. Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata...
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Ukiachana na kina Kimambo,Moko genius wa Imagination production,Oscy boy music,Blacq Boy,Yokeyz Morento aka the Mixing Killer,Ammy Wave wa Switch music group,Yogo beat na S 2 Kizzy wa Pluto ambao...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa imefika mahali diamond vitu unavyovionesha kwa jamii haviwapendez mashabiki vinawaumiza hujui shabiki zako mtaani wanaishije...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Muziki mzuri, ila sina uhakika kama hawa ni music celebs. Ukiangalia kwa umakini kwenye muda kati 0.19 na 0.20 utaona kitu kirefu kidogo mithili ya slim cylinder/ cord kimetokeza kwenye bottom ya...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Msanii wa filamu nchini Rose Ndauka amefunguka na kuweka wazi kuwa kwenye tasnia hiyo wapo baadhi ya watu wachache ambao wameingia kwenye tasnia hiyo wakiwa na lengo la kujiuza na kupata wanaume...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…