KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
Toni Braxton...
HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
Mwanadada mbeba vitu vizito, Loveness Tarimo ametangaza kuwa yeye ni mjamzito kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Namtakia kila la heri, atuletee anko salama!!
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni...
Tofauti na hapo ana enjoy kuonekana kama chapati na yeye kubaki hivi sioni masculinity katika kizazi chake, naona vitoto vyake vya kiume kuwa vichapati chapati kwq maana image ya baba wanayoiona...
All around in my home town they're tryin
To take me down
They say they want to bring me in guity for the killing of the deputy. For the life of the deputy
Sherrif John Brown always hated me for...
Msanii Sam wa ukweli hatunaye tena duniani, amefariki usiku huu hospitali ya Palestina iliyopo Sinza
Mwili wa Sam umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.
Sam, alitamba na vibao vyake...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
Imekuwa mara nyingi watu wa jamii fulani wakijisifia pale mtu kutoka jamii yao anapokuwa maarufu kwa usanii au mengineyo....But sio wasanii wote walioweza kuzitambulisha sehemu wanazotoka....Wapo...
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo...
Kupitia ukurasa wake wa instagram,Diamond platnumz ameweka wazi kua plaform yake ya kuuza na kununulia kazi za wasanii iitwayo,wasafidotcom ipo tayari kwa matumizi pande zote yaani wasanii...
Ila hawa matapeli wawili wanafurahisha. Bandugu hakuna usalama anaejianika kwamba ni usalama chahali ni tapeli…
Ukiona mtu anajianika kwamba ni usalama elewa kwamba huyo ni kishoka tu, mana...
Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu.
Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic...
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha...
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇
1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe...