Mbilia Belli Bado Anayaweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbilia Belli Bado Anayaweza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by n00b, Dec 20, 2008.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Mbilia Bel akiimba kwa hisia kubwa sana moja ya nyimbo zake za enzi zileeeee,nafikiri mtakuwa mnazikumbuka.
  [​IMG]
  “bado niko fiti”​  [​IMG]
  si mnamuona wenyewe,sasa msikose kesho pale new world cinema kuona mambo yake zaidi​
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Dec 20, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Dec 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Mkuu umeniacha sina mbavu. You made my w/end either. Watu mnaangalia sana eh?
   
 4. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Kwi! kwi! kwi!, Mkuu utakuwa humtendei haki huyo Ma'mkubwa,Tuangalie Kwasa kwasa na Mayenu hayo mengine tuyaache kwanza.
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Dec 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mkuu,

  kwanza kabisa chukua tano ya nguvu, umenichekesha kweli.

  ...Si bongo kuna joto la gredi..mpaka nanihino inatokwa na jasho!
   
 6. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli ujana ni maji ya moto!Huyu mama enzi zake inaelekea alikuwa bomba mbaya manake nikacheki baadhi ya nyimbo zake kama boyaye she was looking so beautiful and sexy!
   
 7. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haa haa haaaaaaa kwi kwi kwiiii Mkuu Kichuguu wewe ni JF Senior & Premium Member! Salute!
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Dec 21, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  mwaka 1986 aliweka onyesho pale Uwanja wa Taifa (wa zamani) wakati bado akishirikiana Tabu Ley. Huyu mama alikuwa mrembo kweli kweli, ila ukweli ni kuwa muda hautusubiri sote. Akiwa mrembo alichanganya wanaume kweli kweli katika kipindi cha kunzia 1984 hadi 1991.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...naam, naam,

  kufuatia na onyesho jingine kabambe Diamond Jubilee... lakini ukweli unabakia baada ya kuondoka huyu mwana mama, Tabu Ley naye aliporomoka, hata kina Faya Tess hawakuweza ziba pengo...!

  ...bado wamo sana tu huyu mwanamama, hebu angalia nyonga na manjonjo yake ya jana, hata huyo mwan'dada wa nyuma yake hayawezi!!! (kwa hisani ya issamichuzi blog)


   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,786
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna binadamu asiyetoka jasho sehemu hizo hasa ukitilia maanani joto la Dar!? Labda mfu!!!
   
Loading...