Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi... Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima Turejeeni katika mada hivi karibuni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao. Baada ya Salam SK, kuongea, asilimia kubwa imeshaamini kua Harmo anaondoka WCB kwa jeuri. Kiburi, kujisikia na amekosa fadhila...
18 Reactions
54 Replies
14K Views
mikogo ya jack sparrow[emoji16][emoji16][emoji16] karibuni tupunguze stress
8 Reactions
209 Replies
25K Views
Baada ya vita kali ya kumkataa mnafiki namba moja ambae kimsingi sio msanii wala hana kipaji chochote ila ni mtoto wa mjini anaejua kucheza na nyakati huku hapepesi macho bwana Steve Nyerere...
1 Reactions
112 Replies
26K Views
Deal done Bwana Ahmed ndani ya Wasafi.
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Msako wa video za @Menina ulikuwa ni mkubwa, Mwijaku kawataja wadaku wote nchini alioshirikiana nao na waliohusika kuzisambaza DJ Carry a.k.a @Carrycarry12 ni mmoja ya waliokamatwa, kwa siku...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Msanii dudu baya aka konki konki konki master amefunguka kuhusu issue ya Menina na Mwijaku uliyotoa baada video chafu ya wasanii hao kuvuja hivi karibu amesema Kama ifuatavyo " hivi vitendo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekuwa ni kifuatilia hili sanga liliotokea kwa wasanii mwijaku na menina nimeona asilimia kubwa wakimtetea menina na kumponda na kumwandama mwijaku ingawa wote wanamakosa.kwanini menina akubali...
5 Reactions
51 Replies
12K Views
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni. Taarifa hiyo iliyotolewa leo...
3 Reactions
262 Replies
103K Views
Mondi alikimbia sana badae kugeuka nyuma anakuta haoni mwanariadha mwenzie kukawa hamna namna bali kumuua Alikiba kwa kumtengeneza adui wa kuzuga Harmoniser lakini mwisho wa siku nia ni kuteka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
"Napenda umaarufu, nachukia mbwembwe zake" - Fid Q Habari za wakati huu? Najua ni usiku sana na pengine unatamani kulala kutokana na uchovu wa pirika pirika lakini kabla ya kutekeleza shauri lako...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Aslaam Aleikyum wadau wa jukwaa hili..I hope mko poa, Leo nataka nimzungumzie Toto tundu Mpemba mmoja hivi toka Zanzibar ambae ni Mtangazaji wa kipindi cha Amprifaya Clouds FM kila siku Jumatatu...
2 Reactions
63 Replies
15K Views
NDEGE TATU ZANUNULIWA KWA FAIDA ILIYOTOKANA NA NDEGE NANE ZILIZOPO. Leo 13:15pm,16/10/2019. Atcl sasa itamiliki ndege kumi na moja baada ya kununuliwa kwa ndege nyingine tatu kutokana na faida...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari, Karudi tena kundini.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana...
7 Reactions
113 Replies
62K Views
...hii kitu ya picha/video za ngono inalipa Sana kisanii. Ndani ya wiki 1 tu, unaongeza fan base kubwa, unatambulika Sana ktk jamii na kazi zako zinafuatiliwa Sana! Binafsi sikuwa namfahamu...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Huyu dogo amekwenda, Ni kweli historia yake ya matukio huko nyuma, mfano tukio la wizi, lililoandikwa hapo nyuma, na visa kadhaa kama hizo watu wanasema za skendo za kusepa na wake za watu...
6 Reactions
23 Replies
7K Views
Hatari sana. Unajua mambo mengine usijaribu kabisa ukadhani eti yanaweza kukusaidia. Mimi nina miaka 40 ukinicheck sababu nakula vizuri, mazoezi kiasi flani na pia sina mawazo. Unaweza dhani nipo...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari zenu wakubwa..I hope mko poa. Ally Masoud aka Kipanya'KP'Mchora katuni maarufu bongo katika gazeti la Mwananchi ambae pia ni Brand Manager na Mtangazaji wa Kipindi cha Power Breakfast pale...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Hatari upepo wa kisuli suli
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…