Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.

3327219D-5EE3-4F0A-B08E-89D55EDA70E4.jpeg
 
Sijajua ni kwanini basata haipiganii kabisa maslahi ya wasanii.. Zaidi huwa naona inatoa adhabu peke yake... Mi nadhani kuna Muda kama hawa wangekua na maslahi mazuri kwenye kazi wanazo fanya nao pia wangekua ni watu wa mfano wa kuigwa kwenye jamii.. Lakini sasa tunapoelekea mzazi kumrusu mtoto hasa wa kike kushiriki kwenye sanaa itakuwa ni ngumu mno..

Basata wasanii wanafanya sana Kazi.. Ila maslahi hamna hilo ni tatizo inatakiwa mtatue nyie sio kuita ita wasanii Muonekane na nyie mpo mnafanya Kazi... Kumbe hamna kitu..

Alafu napendekeza kwenye taasisi yenu wazee wapungue.. Wawekwe vijana angalau nadhani tutaona mabadiliko.
 
Pote lambali naunga mkono hoja
Naomba wafanye maboresho kidogo... Video zina quality nzuri ila hatujaona vizuri kama alikuwa analiwa kisamvu au kitumbua... Wajaribu kuiga mfano kutoka kwa amber ruty... All ni all nawatakia maandalizi mema ya video ijayo
 
Back
Top Bottom