Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,049
- 2,249
Habari zenu wakubwa..I hope mko poa. Ally Masoud aka Kipanya'KP'Mchora katuni maarufu bongo katika gazeti la Mwananchi ambae pia ni Brand Manager na Mtangazaji wa Kipindi cha Power Breakfast pale Clouds FM.
Pamoja na Zainabu Chondo Mwanahabari ambae kapita katika vituo vya Kimataifa kama BBC,Deutch Welle'DW' na UBC,pia Azam na IPP Media akihudumu kama msoma habari.
These Two Comrades wameteuliwa na DSTV kufanya kipindi cha li'saa limoja tu kinachoitwa 'Mtazamo'ambacho kitakua cha mahojiano ya live na wataalamu wa mambo mbalimbali kama siasa,Uchumi pia na ucheshi wa hapa na pale kama mnavomjua Kipanya,ambapo pia Watazamaji watapata nafasi ya kuchangia na kutoa mitazamo yao juu ya mada itakayokua inazungumziwa.
Kipindi hiki kimeanza kuruka jana Jumatatu tarehe14 na kitakuwa kinaruka Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa mbili usiku hadi Saa3 Chaneli namba 294 Kupitia DST. @NgarenaroBoy.