Kuna kila dalili kuwa yule mchekeshaji nguli Idris Sultan leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu
Tetesi hizo zimesikika katika viunga vya Central ambapo watu wa karibu wa Idris...
Hey pals, najua mko poa.
Nimekuwa nikishuhudia kelele nyingi za vijana wasio na kazi (jobless) wakidang'anyana na kutiana moyo kuwa eti Wasafi imekuja kuipoteza Clouds😁😁😁😁. Hiki ni moja ya...
Wiki imekua na mengi sana na bado haijaisha, Ali kiba na style ya nitoke vipi, kalalamika anafanywa na Diamond mchezo mchafu, kashindwa kuvumilia akaamua kuweka wazi anakerwa na huu mchezo kwa...
Hizi ni kesi mbili tofauti za kutofuatwa kwa sheria za hakimiliki. Kesi ya P. Funk na Chameleon, producer P. Funk alipigana na kufanikiwa kupata haki yake iliyokaribia kuporwa na Chameleon...
Ninaomba ieleweke wazi sina bifu na Idris Sultan wala sijawahi kuwa na bifu naye ,ila penye ukweli lazima pasemwe huyu bwana mdogo ni mfanya ujinga na mambo ya kitoto toto ambayo yeye binafsi...
Nimeiona hii picha kwa rafiki yangu nikasema lazima nifikishe ujumbe.
.
Katika hatua tuliyofikia tumeamua maisha yetu yote tuyalenge kwenye kupata likes na views kwenye social media page zetu...
Katika kile kinachoonekana misimamo tofauti juu ya sakata la WCB na Harmonize,tayari wajuaji wameshaanza kumwaga upupu wao kwa WCB.
Yetu macho na masikio.
----
Mkataba wa Harmonize, WCB...
Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini.
Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy?
Usikose kesho saa 5 asubuhi...
Ni usiku wa manane, Diamond yupo chumbani kwake, alikuwa amechoka, usingizi haumpati kwa sababu anaifikiria safari yake atakayoianza kesho kuelekea kwenye matamasha yake nchini Marekani.
Kichwani...
Na nyie wasanii wa bongo movie , tumewachoka na sherehe zenu za kila siku za kutafuta Kiki za kijinga, hivi ni lin na nyie mtafanya sherehe kubwa kwa kujipongeza na mambo ya maana kama kujenga...
Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje...
Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond.
Lengo ni...
Habari zenu wakuu!!
Kama heading Inavyojieleza,
Kwa sisi wafuatilia habari za kiburudani hapa tz,ishu kubwa inayotrend ni mkasa wa konde boy kujitoa WCB,ambapo anatakiwa kulipa hio contract...
Baada ya miaka 10 bila UCHUMBA wala NDOA Sean "Diddy" Combs,48, na Cassie,32, wameachana na kubaki marafiki,CASSIE amerudisha juhudi zake Ktk muziki na filamu, DIDDY ni baba wa watoto sita na...
Kamwene ,tuseme ukweli tu jamani, hii nguo aliyoivaa Huddah haijampendeza hata kidogo zaidi na zaidi amejidhalilisha tu, shepu yenyewe hana ,vimatako vimekakamaa kama chapati iliyochacha.
Sent...
Uongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa...