Rayvann akatazwa kujenga kanisa Mbeya na WCB

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,627
3,570
Uongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa mashabiki kujenga kanisa najaribu ku attach audio za mazungumzo zinagoma kama kuna mtu anaweza anipe namba yake nimtumie
 
kaka unaakili fupi kweli yani kila siku we na udini tu
 
Uongozi wa wcb umempiga pini kijana raymond kujenga kanisa mkoani mbeya
Alikuwa anataka kufanya hivo kama sadaka yake hasa baada ya kuona mondi pia anajenga mtwara
Sallam na tale wanasema atagawa mashabiki kujenga kanisa najaribu ku attach audio za mazungumzo zinagoma kama kuna mtu anaweza anipe namba yake nimtumie
shogaake huyoo
 
Eti namba!! una akili wewe? unafikiri utampata mtu humu kibwege? wewe kuna mtu unamtafuta sema umegundua anapenda umbea sasa unataka kujidai una umbea mbea ili upate namba yake, Jamani kuweni makini mnapotoa namba zenu, Kama unajiamini weka namba yako hapo ili mtu akutafute bila kujua ID yake.
 
Alafu hii habari za kuhusianisha mziki wao na masuala ya dini inaweza kuanza kuwacost muda si mrefu maana nawaona sasa wameshashika hatamu katika idara hiyo nyeti. Watatolewa matamko soon
 
Hakika
 
Mmmh mkuu mbona kama una ajenda binafsi na WCB khaa too much

Ray akachangie kanisani kwao alipobatizwa,komunika na kadhalika na si kujenga jpya kwan ana upako wa kuliongoza hilo kanisa?
Numby mbona mond kaenda kujenga mtwara badala ya kuchangia tandale alikosomea madrasa? Kwan mond kujenga huo msikiti anataka kuswalisha?

Wasilete udini kwenye mambo yao.

Kama ni kweli wamefanya hivyo sio fair, na kama mleta mada ni muongo basi heri.
 
Mtoa mada ni mfitini has a tens fitina za dini kuwagombanisha wcb baasi

Na nyie wcb kaeni mkijua kuna watu wanataka mporomoke haswaa tens kwa njia yoyote
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom