ohooooo 1995 .........MREMA HUYOOO MREMA HUYOOOOOO...yah ehe wakati nchi ina adabu na heshima,wanasiasa wanaendesha siasa zao bila ya vitisho vya mpangaji wa pale magogoni,Hakuna awamu iliyopata madongo ya wapinzani kama awamu ya pili,ila kutokana na busara za mpangaji mkuu nchi iliwekwa kwanza(elewa alitukanwa mpaka matusi ya nguoni,familia yake ikihusishwa na ufisadi hasa mke wake wa pili,but he was cool like cucumber!!!)wakati huu ongea chochote kuhusu jiwe kama utaachwa salama,RIP Ongara