Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yaani nchi hii kuna watu wanajua mziki mpaka basi.. Yaaani.. Toka nilipomjua ibrahnation sijawahi kuona wimbo wake mbaya..! Ule wimbo Wa nilipize umetoka 2016 ila unaona Kama jana vile... Kuna...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
“First of all nimesikiliza hizo audio. Nakumbuka mwaka jana zilitolewa audio za Wema na Mbowe, baadae zikatoka audio za watu wenye sauti exactly kama ya Wema tukashindwa kujua ukwlei wa zile...
3 Reactions
69 Replies
11K Views
Niliwahi kusikia mtandao wa kijamii pekee anaoingia huyu jamaa ni WhatsAPP, mitandao mingine kuna watu maalumu wanaicontrol, nampa hongera admin wa IG page yake, ukiingia kwenye page yake utaona...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
“Nilikuwa na mimba siku ile Aunty Ezekiel ana birthday yake. Kweli Petit alisafiri aliporudi mimi nilikuwa hospitali kama Juma alivyosema, ndio hivyo mimba yangu iliharibika ndio maana hukutuona...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
IDRIS AMPA 'ONYO' BILLNAS Mchekeshaji na Muigizaji Idris Sultan amesema rapa Billanass amuombe sana Mungu yasimkute matatizo kama ambavyo yalimkuta yeye ya kuitwa Kituo cha Polisi maana atapata...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kweli kati ya wadada wenye bidii wema unastahili pongezi umetoka kuwa nyambizi hadi kuwa kipotabo kweli wewe na zari mnajitambua siyo kama msanii moja kutwa eti mahari yake million 20 alafu...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Mwimbaji Hodari wa Bongofleva Dully Sykes @princedullysykes leo December 4 ametimiza umri wa miaka 39, ni Baba wa Watoto watano na kila mmoja ana Mama yake, Mtoto wa kwanza ana miaka 15.. wa...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za...
3 Reactions
392 Replies
87K Views
Kwa wasiojua Diamond na Belle 9 wote walitoka kipindi kimoja kama sijakosea mwaka 2009 hivi. Wote hawa walikuwa maunderground. Belle 9 akitokea Morogoro mji kasoro bahari pale mtaa wa Mafiga...
23 Reactions
50 Replies
17K Views
Muimbaji maarufu wa kundi la Spirit of praise la nchini afrika ya kusini Neyi Zimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Muimbaji huyo alikuwa akisumbuliwa na kansa ya ngozi. Bwana alitoa na bwana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwenye Media Industry kuna vitu vingi vyakufanya, si lazima uwe mtangazaji, mhariri, mzalisha vipindi au vinginevyo, kuna kitu kinaitwa Voice over, uingizaji wa sauti kwenye matangazo hasa ya...
0 Reactions
102 Replies
16K Views
Naona WhatsApp kuna habari zinatembea... ila jukwaani sioni maana hapa ndo taarifa za uhakika zaidi.. Nasikia Kishanuka Hukoo..
5 Reactions
213 Replies
37K Views
Jana tumesikia Mwakilishi wa Wasanii BASATA akibariki Kifungo cha Mwanamuzi mwenzake Rosa Ree kwa Miezi Sita cha kutofanya shughuli za Muziki. Kwangu mimi naona haikuwa sawa kwani yeye kama...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine. Jambo ambalo...
2 Reactions
38 Replies
9K Views
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa Msofe leo ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi yake...
0 Reactions
91 Replies
18K Views
Wakuu, Kama mlifuatilia hii thread - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/301102-papaa-musofe-mbaroni-kwa-mauaji.html basi hii leo jamaa anapandishwa kizimbani Kisutu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Meneja wa WCB, Babu Tale amefunguka kuzungumzia ishu ya baadhi ya wasanii wa label hiyo nyota zao kushindwa kung’aa. Lebo hiyo ina wasanii watano, ambao ni Diamond, Rayvanny, Mbosso, Lavalava...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Kwenye biashara kuna umafia ukiona uyu mwenzangu vipi basi umafia unabidi utumike akijulikana nani the master of the game uyo uyo wana deal naye Tuliona kilichomkuta 2 PAC, na B.I. G Kwaiyo WCB...
5 Reactions
107 Replies
10K Views
Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani. Hawa ndio 5 bora kwangu 1: Trevor...
4 Reactions
80 Replies
13K Views
Kijana yupo kwenye level kubwa Sana tulizoea kuona mapokezi makubwa akiyapata hapa home lakini sasa anayapata hata nje ya nchi.Big up kwa hiyo step kubwa uliyopiga.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…