Jerry Slaa ni miongoni mwa vijana maarufu sana tanzania kutokana na mafanikio yake kisiasa,amekuwa role model wa wengi akiwemo mm.
jamaa tangu uchaguzi uishe amehadimika hata kwenye vyombo vya...
Wasalaam wakuu baada ya muda mrefu Platnumz kutokukanyaga Mbeya, tarehe 25 anakuja kusherehekea ten years of Platnumz na wanambeya
Hii inasemekana ni kutokana na jamaa kuidis Mbeya kuwa hakuna...
Mwaka 2005 lilifanyika shindano kubwa lililobatizwa jina la Mfalme wa Rhymes chini ya mdau, mmiliki na Mkurugenzi wa magazeti ya Global Bwana Shigongo. Shindano liliendeshwa na magazeti kwa kuweka...
Msanii wa filamu Shamsa Ford amedai vijana wengi wa kiume wa Dar es salaam ni chawa, wambea na vibenten kwa kuwa walikosa elimu ambazo zingewawezesha kwenda kushindana kwenye soko la ajira...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nmefuatilia hawa manguli wawili kwenye muziki wa kufokafoka R.O.M.A (Rhymes Of Magic Attraction) na KING KAKA aka Rabit aka rhymilionear na nyimbo zao mpya...
Habari wakuu,
Nimekuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha supa mix cha East africa Radio kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kipindi hiki kinatangazwa na Zembwela (mchekeshaji wa zamani) na...
Wasalaam wana jamvi
Katika moja ya changamoto kubwa kwenye biashara ya muziki na burudani kwa sasa ni wasanii kuweza kuwafurahisha mashabiki mwanzo wa show hadi mwisho hata kama msanii hana wimbo...
Wakati fulani marekani Robin Givens aliwahi kutajwa kuwa ndo the most hated woman in America, enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha Mike Tyson kuchanganyikiwa, hasa aliposema aliolewa...
Wasalaam wakuu natumaini ni wazima wa afya tele,twenzetu kwenye mada novemba 9 Ilikuwa ni grand final ya wasafi festival in daresalaam nikili kuwa tamasha lilikuwa na muamko mkubwa Sana japo kuwa...
Hii ni couple ambayo wakati inaanza wengi haikuwashtua, lakini muda unavyozidi kwenda inazidi kuwa na nguvu za ajabu. Ni swala la muda tu, ila awa ndio Beyonce na Jiga wa Africa.
Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.
Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali...
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia...
Nasikia bibie na baby wake wapo central kwa utapeli, nasikia walimtapeli mtu kwenye instagram ya wema sepetu , watu wa matangazo.... sasa bibie akaamua aji hack apost matangazo🤣🤣, Ila njaa mbaya ...
Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi...
MUIGIZAJI wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema si kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake anaotoka nao kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni.
Diamond amezua gumzo baada ya video yake...
Kutokana na mabalaa yanayomkuta hamisa mobeto na hii caption ya shamsa , je huu ujumbe unaweza kuwa wa hamisa kutokana na matukio kadhaa aliyowahi kumfanyia zari huko nyuma? , ni kweli anayopitia...