Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

A.Y Representing the initials of his names Ambwene Yessayah. background….. Began his musical career at the tender age of ten. While in primary school he participated in talent searches and...
1 Reactions
17 Replies
10K Views
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa. Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake...
41 Reactions
321 Replies
12K Views
Amani iwe kwenu watumishi Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia Ndoa...
22 Reactions
94 Replies
7K Views
Naona kama ni mpango wa kuzima kelele za Gwajima🤔🤔 Anaandika diamond... "Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki. Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona...
13 Reactions
291 Replies
43K Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kauli ya Donald Trump imewashangaza watu wengi. Katika hotuba yake, Trump alidai kwamba bila Marekani, kila kitu duniani kingekufa. Hii ni kauli ya kushangaza na ya kujivuna isiyokuwa na mashiko...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na...
37 Reactions
380 Replies
34K Views
Kulikuwa na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble Ebana huyo mume wa Zari a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa, yani kapigika haswaa. Tumuombee tu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bingwa wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, ameingia rasmi kwenye ulimwengu wa muziki kwa kuchapisha wimbo wake wa kwanza wa solo unaoitwa “Cibeles”, uliozinduliwa Jumapili, Agosti 31, 2025...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo muziki wa hiphop unatimiza miaka 52 tangu kuanzishwa ukiwa kama shabiki wa muziki huu wa Hiphop tuambie Ni Rapa gani alikufanya uwe shabiki wa Hiphop? Soma pia: Support ya media kwa wasanii...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Abby ameolewa na Josh Bowling, mwanajeshi mstaafu na muuguzi. Ndoa hiyo kisheria inamhusu Abby pekee, japokuwa dada hao wanashiriki mwili mmoja. Brittany bado yuko single na hataki kuolewa au...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje? Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu...
9 Reactions
67 Replies
4K Views
1, T-touch 2, mesen selekta 3, shebby clever 4, jomba njoo(njoo studio) 5, Abbydad 6, lolipop(classic music) je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
2 Reactions
85 Replies
13K Views
Vuguvugu la kujaribu kuisafisha Tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh Mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya...
7 Reactions
170 Replies
35K Views
Habarini, Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Msanii wa nyimbo za injilj Ambwene Mwasongwe ameweza kupata mtoto wa kike baada ya kukosa mtoto katika ndoa yake tangu mwaka 2017. Hicho ndo alichokiandika leo kwenye mitandao yake ya kijamii...
12 Reactions
60 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…