Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Me I agree with her. Dada mkubwa amedadavua tofauti Kati ya MVUTO na KUVUTIA. Big Up Zamaradi
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama umezaliwa enzi za Kikwete inaweza kuwa ngumu kuwafahamu hawa watu!! 1. Mike Tee a.k.a mnyalu 2. Dudu baya a.k.a dudu zuri 3. Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style 4. Witnes Masiga wa B lov M 5...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomani
26 Reactions
310 Replies
63K Views
Kwa Jinsi Ambavyo Nimeona Watu Wengi Mmeupokea Wimbo Wetu Wa KAKA_TUCHATI Na Kuvutiwa Nao, Nimewaza Jambo Fulani, Mimi Nina Followers Hapa Instagram Laki Sita 600K, Na Staminashorwebwenzi Ana...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
Queen Darleen, Lavalava hawapati sapot ya fans wa WCB kama ilivyo kwa Rayvany. Mboso kidogo wanamsapoti japo si sana. Hii hali inaenda kumkuta msanii mpya Zuchu. Tukubaliane kua ile trending ya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi...
9 Reactions
74 Replies
8K Views
African Beat ilianzishwa mwaka 1998, baada ya Mafumu Bilali Bombenga kujiengua kutoka katika bendi ya African Stars ambayo nayo ilianzishwa mnamo mwaka 1994 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
  • Closed
Naombeni mnisaidie namba ya Mhe Jokate Mwegelo nina jambo nataka nimweleze nimeshindwa kukaa nalo moyoni
2 Reactions
33 Replies
10K Views
Dakika chache tu picha hii imetupiwa na msanii huyu mwigizaji wa bongo movie anaejulikana sana kwa jina la Shamsa Ford ikiwa imeandikiwa neno...... utamu mwazo mwisho...
1 Reactions
93 Replies
63K Views
‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka kuwa aliyempa mzigo wa unga na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari wana jamvi, Leo hii nataka tumjadili msanij wa kizazi kipya wa hip hop, Dogo Hamidu al maarufu kama Nyandu Tozzy 26. Huyu bwana Mdogo ana kigroup chale wao kila siku wanakwea pipa kwenda...
6 Reactions
60 Replies
27K Views
Akiwa na miaka 67. Veteran Bollywood actor Rishi Kapoor has died in hospital after a two-year battle with leukemia, his family representative confirmed in a statement. He was 67. Kapoor, who...
4 Reactions
147 Replies
16K Views
Wakuu mambo zenu. Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu. Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Ni muda mrefu hajasikika akitoa wimbo tangu azame kwenye mapenzi. Yeye mwenyewe amesema anapumzika kwanza baada ya miaka 13 ya kuhit . Ila nachokiona atakaporudi fan base yake itakuwa imeshahama...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi. Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua...
2 Reactions
57 Replies
12K Views
Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe...
3 Reactions
98 Replies
26K Views
kama umesikia wimbo mpya wa ney wa mitego....anazungumzia 1.akiponda viti maluumu...... 2.akiponda mawazili vivuliii.... 3.aonglea gesi ya mtwara 4.akimtaka lowassa agombee uraisi 5.amemponda...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Hii ni kwa tathmini yangu fupi ya harakati za hawa wanamziki kwenye mbishe zao za kungiza kipato; i) kwenye kutoa nyimbo, ii) Matamasha, iii) Endorsement., iv) Album Kwenye list yangu mpaka sasa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe. You Mad Coz Am Back...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…