Vanessa ndo anapotea kwenye Ramani ya Mziki

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Ni muda mrefu hajasikika akitoa wimbo tangu azame kwenye mapenzi.

Yeye mwenyewe amesema anapumzika kwanza baada ya miaka 13 ya kuhit .

Ila nachokiona atakaporudi fan base yake itakuwa imeshahama na wadada wanaokuja kumreplace

Naona kama muda unampita.
 
Sema ana bahati, Vanessa anabaki kuwa yeye tu, hata akipoteaje bado hapatakuwa na mtu atakayechukua nafasi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho,Godzilla alifanya hivo Billnass akaja na style kama ya Godzilla akamfunika baada ya Godzilla kujisahau kwenye starehe.

Blue kipindi Joslin alikuja na style yake blue asingekomaa angepotezwa
 
Anahudumia penz kwanza
Pesa za music ameshakusanya
Ndo anazifuna

Ben pol nae anachakaza nyapu
Hapa Nairobi asilale njaa

stidy
 
Back
Top Bottom