Kwanini mashabiki wa Wasafi mnawatenga baadhi ya wasanii huko WCB?

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,733
7,667
Queen Darleen, Lavalava hawapati sapot ya fans wa WCB kama ilivyo kwa Rayvany. Mboso kidogo wanamsapoti japo si sana.

Hii hali inaenda kumkuta msanii mpya Zuchu. Tukubaliane kua ile trending ya Zuchu ilibebwa na Promo na si uwezo wake sasa nguvu ya promo Imeisha zuchu anaanza kuunga unga ana Video Mpya huko YouTube Inajikongoja. Je, wimbi ni mbaya au Video ndo mbaya?

Shida ni nini kwa hao wasanii, uwezo wao ni mdogo? Au hawapewi promo na Diamond? Na kwanini mpaka wapewe Promo na Diamond ndo Mnaenda ku-view?

IMG_20200508_095156_507.JPG
 
Hivi yule msanii wenu Tommy Flavor wa King's College Music aliyotoka sambamba na Zuchu nae mbona hatrend au unazani kumponda Zuchu ndio utamporomosha.Mfanyie promo unapoteza mda kumponda Zuchu ambaye Yupo vizuri na ndio kwanza ana mwezi.

95435413_740974263311185_495501015696713049_n.jpg
Screenshot_20200509-115026.png
 
Mtoa mada kuna vitu unachanganya.

Kuna mashabiki (waliokumywa maji ya bendera) wa WCB, wa washabiki wa msanii mmoja mmoja, na mashabiki wa Diamond.

Mimi kama mshabiki wa Diamond, sinawahi sikiliza ata wimbo mmoja wa Zuchu, na wala sijawahi penda nyimbo za Lavalava kidoogo Mboso na Rayvanny.

Sasa nione Zuchu katoa wimbo nianze tu kumaliza MB zangu?

Diamond ana fan-base yake, na hao wengine kila mmoja anayoyake sema kua WCB kunawasaidia kidoogo baadhi ya mashabiki wafuata upepo wanawashabikia.

Wengine tunaangalia muziki mkali, ata Diamond huoni baadhi ya nyimbo zake zinakua na views chache? Inamaana wengi tulivozicheki once hatutaki ata kureplay.

Views nyingi za YouTube ni kwamba watu wengi wamerudia rudia, ingekua ni mtu individual mbona kufikisha Million tu ingeku msamihati.
 
Huu tunaita umbea kwa mwanaume, ila kwa mdada ni haki yake.

Mwanzo mgumu tupo busy na corona saivi
 
Mtoa mada kuna vitu unachanganya.

Kuna mashabiki (waliokumywa maji ya bendera) wa WCB, wa washabiki wa msanii mmoja mmoja, na mashabiki wa Diamond.

Mimi kama mshabiki wa Diamond, sinawahi sikiliza ata wimbo mmoja wa Zuchu, na wala sijawahi penda nyimbo za Lavalava kidoogo Mboso na Rayvanny.

Sasa nione Zuchu katoa wimbo nianze tu kumaliza MB zangu?

Diamond ana fan-base yake, na hao wengine kila mmoja anayoyake sema kua WCB kunawasaidia kidoogo baadhi ya mashabiki wafuata upepo wanawashabikia.

Wengine tunaangalia muziki mkali, ata Diamond huoni baadhi ya nyimbo zake zinakua na views chache? Inamaana wengi tulivozicheki once hatutaki ata kureplay.

Views nyingi za YouTube ni kwamba watu wengi wamerudia rudia, ingekua ni mtu individual mbona kufikisha Million tu ingeku msamihati.
Katika baadhi ya hoja yako kuna kitu umekiweka kinaitwa "Anomali" au "Upotoo" kwamba maelezo yako yanagombana yenyewe. Unasema hujawahi kusikiliza wimbo hata mmoja wa Zuchu halafu baadae ukasema ni mshabiki unayeangalia muziki mzuri.

Sasa utajuaje kama muziki wa msanii ni mbaya au mzuri wakati hujawahi sikiliza hata wimbo wake mmoja?
 
Back
Top Bottom