Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,984
19,287
Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe tena bali meneja binafsi kwa kuwa wanaachia nyimbo zao solo na kuzi promote moja moja mkubwa na wanawe haitaweza...Hayo yamesemwa na Beka amabaye alikuwa ni mmoja wa wanaounda kundi hilo
 
Hapo ambaye hatoteteleka ni Aslay hao wengine ndo mwisho wao kimuziki haswa huyo Enock Bella

Maromboso na Beka imba yao ni ya kawaida sana sidhani kama wanaweza kutoa hit songs

Huyo Enock Bella bora arudi kukata mauno ndo fani yake mziki ndo basi tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom