ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Habari wana jamvi,
Leo hii nataka tumjadili msanij wa kizazi kipya wa hip hop, Dogo Hamidu al maarufu kama Nyandu Tozzy 26.
Huyu bwana Mdogo ana kigroup chale wao kila siku wanakwea pipa kwenda kwa madiba na kurudi bongo. Kazi au biashara wanazofanya kati ya south Africa na Tanzania hazijulikani lakini kila siku utawakuta dakika moja Kinondoni dakika moja South Africa.
What so special na trip zao za mara kwa mara za kwenda south africa maana wengine hawaimbi mziki wapo wapo tu bora hata ya nyandu tozzy yeye kidogo anataupa burudani wapenda hip hop ila hili genge lake na safari zisizoisha za Afrika ya kusini kunani huko bondeni kama kuna fursa watumabie na sisi tuende na hata kama kuna fursa lakini siku mbili south siku mbili bongo.
Yetu macho.