Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,415
- 39,491
Habarini Wadau,
Kiukweli namhusudu na kumpenda sana huyu dada, ambaye ni mtangazaji wa ITV.
Anayeweza kunisaidia namba zake aidha ya simu au ya nyumba aniwekee hapa tafadhali.
Najua hajaolewa mrembo yule hata kidoleni pete ya kuzuga hakuna.
Pls mwenye namba yake....dah.