Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria...
Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula...
Wengi tunakusaport bt hatupendezwi na ulivyomtenga mzee abdul ambae mbegu yake ndo sabab ya wewe kua.
Mama mlea mbegu anaishi kifahari bt baba mpanda mbegu anaishi kwa dhiki ajil ya makosa...
Leo tuwapambanishe manguli wawili wa Bongo Flavour, hawa ni wasanii ambao walibadilisha muziki wa bongo kuwa R&B halisi miaka ya 2003 & 2004 vilitoka vibao viwili vilivyosumbua sana cha kwanza Z...
Msanii wa Bongo fleva Ben Pol amemchumbia binti wa kitajiri wa Kenya Anerlisa Muigai na anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni taratibu za awali Tayari zimeshaanza
Kuhakikisha Hilo Ben Pol amehama...
Wote ni wakali wa filamu nchini China. Walitamba sana filamu zao. Filamu nzuri za Ngumi. Nani zaidi kati ya Donnie Yen na Jet Lee.(Ukiambiwa umchague mmoja)
Nadhani ni jambo lisilopingika kwamba foleni za barabarani ktk jiji la Dar zinaongezeka siku hadi siku.
Ninashauri JK na viongozi wengine wanaopenda sana misafara mirefu waanze utaratibu wa...
Ustaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nikupongeze kwa habari nazozisoma mitandaoni kuwa utawalipia kodi waathirika 500 wa corona kodi ya miezi mitatu. Hongera sana sana. Pamoja na aina yako ya maisha bado kuna sehemu...
Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.
Uimbaji wake hapa...
Huyu jamaa amejizolea umaarufu kwa saluni yake ya kike, ambapo wakina dada na mama wa Dar es Salaam hasa wale maarufu wengi wao wanavutika na kushawishika kwenda kwake. Lakini pamoja na saluni...
Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya...
Kwa mujibu wa jarida la Forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West...
Huu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba.
Hapa nazungumzia hatua za kimuziki...
Kwa wale hater's utasikia Ooh wasafi wamewahonga Apple Music.
Lakini kiuhalisia huko nje ya nchi ukizungumzia mziki wa bongo fleva basi unazungumzia Diamond Platnumz na his own team WCB Wasafi...
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa...