Ben Pol kufunga ndoa hivi karibuni na Anerlisa

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Msanii wa Bongo fleva Ben Pol amemchumbia binti wa kitajiri wa Kenya Anerlisa Muigai na anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni taratibu za awali Tayari zimeshaanza

Kuhakikisha Hilo Ben Pol amehama uswahili na amepangiwa Nyumba nzuri Mbezi Beach maana familia ya binti inatarajiwa kuja Tanzania hivi karibuni.
It
Anerlisa ambae Ni CEO wa kiwanda Cha maji huku mama Tabitha Kiranja Bilionea namba 4 kwa wanawake nchini Kenya akiwa CEO wa kiwanda Cha Bia.

Ben Pol anatarajia kufanya shughuli zake za mziki Muda mwingi akiwa Kenya Baada ya ndoa

Inst-image-10.jpeg
 
sawa katibu muhtasi wa ben paul.
tatizo la wabongo mnaendekeza kukariri kuwa kila mwenyewe uhusiano na mwanamke mwenye kipato kikubwa basi analelewa.
Na hapa ni pagumu kweli.
Wamesahau msemo wa mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake.
Maendeleo ya mtu ni fumbo na siri kubwa.
Ishu siyo kwamba chanzo cha maendeleo ni nini bali unaitumiaje hiyo chance kufanya maendeleo.
Mfano, ni wazi kwamba diamond alichemka sana kwa Zari maana angetumia chance ile kufanya makubwa zaidi maana Zari yupo smart sana katika ubunifu.
Diamond japo alichemka ila baadaye alijutia na kutaka kumrudia Zari.
Ipo hivi, maendeleo ya mwanaume yana uhusiano mkubwa sana na aina ya mwanamke aliyenaye.
 
Back
Top Bottom