Dk. Levy: Wema Sepetu, wewe ni faraja kwa masikini

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Anaandika Dk. Levy.

Wema1.PNG

Wema2.PNG
 
ahahaaaa hii kali
Aisee,sijui huyu bwana ni mtu wa namna gani,natamani kumuona.Katika jamii ambayo watu wake wengi wameonyesha wazi kwamba wanachukia watu wanaojihusisha na madawa ya kulevya,he stands out in support of them? He must be a very evil person.Anavyomremba Wema as if kafanya kitu chema sana ,kumbe kasababisha vijana wetu wengi kuwa mataahira.Ajabu sana.
 
Najiuliza tu ni faraja ya masikini kivipi?
Sijaelewa na sababu alizotoa hazina mashiko hata kidogo
Kwamba masikini pia anaweza kupata kitu kizuri iwe kwa kufanya kazi au kwa namna yoyote ile.
 
Aisee,sijui huyu bwana ni mtu wa namna gani,natamani kumuona.Katika jamii ambayo watu wake wengi wameonyesha wazi kwamba wanachukia watu wanaojihusisha na madawa ya kulevya,he stands out in support of them? He must be a very evil person.Anavyomremba Wema as if kafanya kitu chema sana ,kumbe kasababisha vijana wetu wengi kuwa mataahira.Ajabu sana.
Mkuu amemremba au ametukana ki-staarabu mkuu?
 
Yes, alikuwa pia faraja na daraja kwa chama chetu wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na muda si mrefu atakuwa faraja kwa wafungwa wenzake.

Rafiki wa kweli ni Yesu tu, yeye si mnafiki.
 
Back
Top Bottom