Kwako Diamond...

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Kwanza nikupongeze kwa habari nazozisoma mitandaoni kuwa utawalipia kodi waathirika 500 wa corona kodi ya miezi mitatu. Hongera sana sana. Pamoja na aina yako ya maisha bado kuna sehemu unajitengenezea hazina isiyooza. Utakumbukwa kwa mengi siku maisha yakonyakitimia hapa duniani. Siombei yatimie leo wala kesho, bali Mungu mwenyewe anajua.

Nina play list yangu hapa ya bongo fleva ambayo huwa naisikiliza wakati na wakati, japo mi sio umri wa bongo fleva. Napaswa zaidi kusikiliza nyimbo za kina Jaydee, Kidumu, Kamilioni, prof J, n.k kwa upande wa bongo fleva. Ila baadhi ya nyimbo za wasanii wa bongo fleva ni nzuri kiasi huwezi acha kuzisikiliza. Wapo kina Barnaba, Baraka Prince, Ben Pol, wewe, Ditto, na wengine

List yangu so far ina nyimbo kumi na tisa. Wewe katika list hii una nyimbo tano!; Sikomi, Ntampata wapi, Ukimwona, Salima ft Mjeda, na hii ya mwisho ambayo ndio nayotaka kuizungumzia. Utanipenda.

Baada ya wimbo huu sidhani kama baada ya hapo kuna wimbo wowote ambao naweza sema nitauweka kwenye list za kuusikiliza, iwe ni faraghani au hadharani. Hizo mnawezana wenyewe maana zinanisuta japo kuna muda natupia vibwagizo kama Jeje. Yah, zipo kadhaa hivi baada ya hapo ila zimenitoka jina. Mijawapo ni ile unaimba kwenye reli ukpiga simu. Nyingine ambayo naweza iongeza ni ile ya shetani kaingiaje sijui wapi.

Sasa wakati nausikiliza huu wa Utanipenda nikaona lipo jambo moja tayari limeshatimia. Nalo nibkuachana na mwanamke ambaye katika nojawapo ya nyimbo zako umesema Zari akakutunuku kidume na mwali. Nadhani ni katika Sikomi. Zari aliyekupa heshima ya kuwa baba wa wana wawili (sijui mmekosana nini) leo mmeshaachana.

Kwenye wimbo humo umeimba mambo mengi ambayo ni hasi juu yako. Wakati nausikiliza ndio nikawa natafakari hayo. Niliupenda huu wimbo kwa audio na video, hasa pale uwanja wa ndege, na pale unashuka na Zari kwenye gari jamaa anakufungulia mlango.

Singependa kuona utabiri wako unaendelea kutimia mmoja baada ya mwingine, hivyo basi, cha kufanya ni kutengeneza wimbo mwingine wa kusawazisha utabiri wako. Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia kwa wakati. Tusingependa kumwona tena mama Dangote akiranda mitaani kutafuta ahueni ya maisha wakati tayari maisha anayo. Tusingependa kuona wanao wanaachana na ukwasi walio nao na kuungana na kina kayumba, kisa tu umeshajitabiria. Tengeneza wimbo mwingine.

Mwisho, nyimbo zako za kileo kina Jeje na nduguze zinatuondoa kenye kundi la wasikilizaji wako. Unapiga pesa ndio ila kuna kundi unalipoteza. Ni hayo tu kwa leo. Nawatakia waislam wote mfungo mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa hata harmonize nkimpigia ananifokea kamasallam
Magazet yaudaku :mondi na zari ameshamuaga
....…
.......
.......
 
We unadhani Mondi anajali habari za kuachana nao? Wako maelfu kwenye foleni wanatamani fursa ya kuwa nae.

Ukiwakusanya wadada wa JF ukawauliza ni wangapi wanatamani kywa nae asilimia zaidi ya 80 watasema ndiyo. Ukizingatia maisha ni nagumu wengi wanapenda kutembea juu ya ganda la ndizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemuachia mzigo zari duh! uyo sperm donor ni noma

Sent using Jamii Forums mobile app
Sizani Kama diamond ataki kuwahudumia hao watoto Kama kawanunulia nyumba kabisa south atashindwaje kulewa tatizo hapo Ni zari kutengeneza mahusiano mazuri na diamond uwezi kumtukana muda mwingi kwenye Instagram yako mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, watoto wake unawapeleka kanisani wakati baba Ni muislamu, umeblock mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, umeshindwa kuwaruhusu hata siku moja watoto kuja dar kumuona baba yao huo msaada utatoka wapi mbona hamisa mobetto anawaruhusu watoto kumuona baba yao kwanini zari Hilo linamshinda? Na hamisa mobetto amesema baba yao anahudumia.
 
Kwanza nikupongeze kwa habari nazozisoma mitandaoni kuwa utawalipia kodi waathirika 500 wa corona kodi ya miezi mitatu. Hongera sana sana. Pamoja na aina yako ya maisha bado kuna sehemu unajitengenezea hazina isiyooza. Utakumbukwa kwa mengi siku maisha yakonyakitimia hapa duniani. Siombei yatimie leo wala kesho, bali Mungu mwenyewe anajua.

Nina play list yangu hapa ya bongo fleva ambayo huwa naisikiliza wakati na wakati, japo mi sio umri wa bongo fleva. Napaswa zaidi kusikiliza nyimbo za kina Jaydee, Kidumu, Kamilioni, prof J, n.k kwa upande wa bongo fleva. Ila baadhi ya nyimbo za wasanii wa bongo fleva ni nzuri kiasi huwezi acha kuzisikiliza. Wapo kina Barnaba, Baraka Prince, Ben Pol, wewe, Ditto, na wengine

List yangu so far ina nyimbo kumi na tisa. Wewe katika list hii una nyimbo tano!; Sikomi, Ntampata wapi, Ukimwona, Salima ft Mjeda, na hii ya mwisho ambayo ndio nayotaka kuizungumzia. Utanipenda.

Baada ya wimbo huu sidhani kama baada ya hapo kuna wimbo wowote ambao naweza sema nitauweka kwenye list za kuusikiliza, iwe ni faraghani au hadharani. Hizo mnawezana wenyewe maana zinanisuta japo kuna muda natupia vibwagizo kama Jeje. Yah, zipo kadhaa hivi baada ya hapo ila zimenitoka jina. Mijawapo ni ile unaimba kwenye reli ukpiga simu. Nyingine ambayo naweza iongeza ni ile ya shetani kaingiaje sijui wapi.

Sasa wakati nausikiliza huu wa Utanipenda nikaona lipo jambo moja tayari limeshatimia. Nalo nibkuachana na mwanamke ambaye katika nojawapo ya nyimbo zako umesema Zari akakutunuku kidume na mwali. Nadhani ni katika Sikomi. Zari aliyekupa heshima ya kuwa baba wa wana wawili (sijui mmekosana nini) leo mmeshaachana.

Kwenye wimbo humo umeimba mambo mengi ambayo ni hasi juu yako. Wakati nausikiliza ndio nikawa natafakari hayo. Niliupenda huu wimbo kwa audio na video, hasa pale uwanja wa ndege, na pale unashuka na Zari kwenye gari jamaa anakufungulia mlango.

Singependa kuona utabiri wako unaendelea kutimia mmoja baada ya mwingine, hivyo basi, cha kufanya ni kutengeneza wimbo mwingine wa kusawazisha utabiri wako. Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia kwa wakati. Tusingependa kumwona tena mama Dangote akiranda mitaani kutafuta ahueni ya maisha wakati tayari maisha anayo. Tusingependa kuona wanao wanaachana na ukwasi walio nao na kuungana na kina kayumba, kisa tu umeshajitabiria. Tengeneza wimbo mwingine.

Mwisho, nyimbo zako za kileo kina Jeje na nduguze zinatuondoa kenye kundi la wasikilizaji wako. Unapiga pesa ndio ila kuna kundi unalipoteza. Ni hayo tu kwa leo. Nawatakia waislam wote mfungo mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
ni ushauri mzuri sana. uko na busara kiongozi....!

vp lkn, katika hiyo list yako ya nyimbo unazozipenda hakuna ya King hata moja uitaje angalau niijue tu?!!!!
 
Sizani Kama diamond ataki kuwahudumia hao watoto Kama kawanunulia nyumba kabisa south atashindwaje kulewa tatizo hapo Ni zari kutengeneza mahusiano mazuri na diamond uwezi kumtukana muda mwingi kwenye Instagram yako mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, watoto wake unawapeleka kanisani wakati baba Ni muislamu, umeblock mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, umeshindwa kuwaruhusu hata siku moja watoto kuja dar kumuona baba yao huo msaada utatoka wapi mbona hamisa mobetto anawaruhusu watoto kumuona baba yao kwanini zari Hilo linamshinda? Na hamisa mobetto amesema baba yao anahudumia.
eh, hii koment yako Mkuu imenitafakarisha sana sana..............ujana, umaarufu na pesa bwana, we acha tu! ukiwa hauna hivyo vitu, suala la kuzaa (kuanzisha familia) na ulindaji wa values zako vinakuwa vitu vya msingi vya kuvizingatia. hali huwa tofauti ukizipata......focus inakuwa kwenye media na sifa!!! tuombe tu vizazi vyetu visije kulipa 'mafindofindo' yetu huko mbele
 
ni ushauri mzuri sana. uko na busara kiongozi....!

vp lkn, katika hiyo list yako ya nyimbo unazozipenda hakuna ya King hata moja uitaje angalau niijue tu?!!!!

😂😂😂😂😂 Nilijua tu yaaani huu uzi usingekamilika bila king kutajwa.
 
eh, hii koment yako Mkuu imenitafakarisha sana sana..............ujana, umaarufu na pesa bwana, we acha tu! ukiwa hauna hivyo vitu, suala la kuzaa (kuanzisha familia) na ulindaji wa values zako vinakuwa vitu vya msingi vya kuvizingatia. hali huwa tofauti ukizipata......focus inakuwa kwenye media na sifa!!! tuombe tu vizazi vyetu visije kulipa 'mafindofindo' yetu huko mbele
Kweli aisee
 
Hata mtu awekewe mazingira gani.... Hawezi kushindwa kuhudumia watoto

Kuna legal procedure za yeye kulea wale watoto

Na ana pesa ya kuyawezesha hayo
Wewe SEMA umjui huyu mama huyu mama nimefuta Kiki Sana na yeye ni ndio alisema ana hela nyingi Wala ategemei pesa za mondi na anauwezo wakumlea diamond bila pesa zake alafu Cha ajabu diamond kamwachia nyumba ambayo kapangisha je hiyo hela ya Kodi anapeleka wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom