Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,
Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je...
Salamu wan JF,
Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.
Mbarikiwe kwa msaada wenu
============
Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana...
Kweli bila kumtumikia ibilisi hii dunia unapotezwa upesi sana.Akina Nandy na matusi yao wana trend na wataendelea kwa nguvu ya vyombo vya habari vingi vikiwa vya ki illuminat.
Naukumbuka sana...
Habarini ndugu wana jukwaa!
Nimefuatilia sana kuhusu hii trend ya baadhi ya media kutopiga nyimbo za baadhi ya wasanii na mara zote nakosa majibu kwa kuwa hakuna media inatoa sababu za kwanini...
Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa...
Watanzania tuna tabia ya kutoa sifa mtu akishafariki. Sasa leo hii nakupa hongera mond kwa mambo mengi ulioyafanya:
1. Kuitangaza lugha ya kiswahili kupitia nyimbo zako.
2. Kuleta tuzo za...
Kupitia akaunti ya Instagram ya E Fm (efmtanzania) wameandika haya
Hamisi Mandi B. Bozen, kati ya majina yake anayopenda ni The Navigator (msafiri). Kwenye safari hiyo kavusha wengi kiasi kwamba...
Niimani yangu kuwa mko poa wana jf mnaendelea na majukumu ya kila siku japo ndio hivyo vyuma vimekaza kwa baadhi yetu lakini maisha lazima yaendelee
Leo tunamuongelea mchekeshaji wa zamani...
Ayo Tv, Millard ayo channel ya youtube zamani ilishazoeleka kuingiza hata video 10 kwa mpigo kwenye orodha ya video zinazovuma (trending videos), Ni kipindi ambacho kijana hakuwa na mpinzani...
Nimejaribu kucheck orodha sijaona hata msanii mmoja kutoka nyumban na EA kwa ujumla, hii maana yake nini? Mziki wetu umeshuka? Au wasanii wetu washalizika? Au tuseme ushindani umezidi...
Majina...
Huyu mwanadada yuko wapi? Binafsi nampenda sana huyu mrembo...
Kipindi anashiriki hili taji na kushinda nafasi ya pili, bado nilikuwa shule DIT nilimtamani sana sema tu sikuwa na mavumba kipindi...
First of all, do you believe in re incarnation?
So you love Tupac Shakur?
Do u know who George Stinney was ?
Do u want me to prove to you why I say Tupac Shakur was a re incarnation of George...
kuwa staa ni mtaji mkubwa sana kwa msanii, unaweza kufanya kitu cha kawaida tu ila kikapewa sapoti mno na kuonekana kikubwa, mbali na kazi za sanaa kuwa staa ni kuwa na sifa kama za huyu kijana...
Msanii Hakeem 5 ambaye alitambulika katika muziki baada ya kufanya Collabo na msani Ali Kiba kwenye wimbo wa ‘Nakshi Mrembo’ amefunguka na kusema kuwa msanii Ali Kiba si mtu mzuri na wala hana...
Christina Shusho ni moja kati ya waimbaji maarufu wa muziki wa injili Tanzania ambao wamefanikiwa kufikisha pia kazi zao nje ya Tanzania.
Christina amekuwa na utaratibu wa kuandika jumbe kwa...
Professionally, huyu jamaa ni muigizaji maarufu kidogo, tena ni mtanzania anaeongea kiswahili, na ni mwanaume aliezaliwa na kukulia Dar, aliigiza kwenye ile movie inayoitwa huba, half kimuonekano...
Licha ya kutaka tu mziki mzuri lakini tunapenda vionjo vingine pia kutoka kwa Mwanamuziki. Msanii/Mwanamuziki/Mburudishaji yafaa kuishi kisanii kama kazi uliyochagua inavyokutaka na si kuleta...
Kuna rundo la watu wenye wasiopenda wema wa kijana wameegamia kwenye fikra potofu kwamba ilibidi huu msaada utoke kimya kimya, Jibu ni "NO" "HAPANA!!!" Kuna misaada inabidi itoke kimya kimya...