Alichoandika mwimbaji Christina Shusho kwa Paul Makonda

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Christina Shusho ni moja kati ya waimbaji maarufu wa muziki wa injili Tanzania ambao wamefanikiwa kufikisha pia kazi zao nje ya Tanzania.

Christina amekuwa na utaratibu wa kuandika jumbe kwa baadhi ya viongozi na watumishi mbalimbali wa dini.

Leo Jan 16 ametumia ukurasa wake wa Instagram na kumuandikia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Mkonda >>>I thank God for your life in christ, mhe @ paulmakonda, wengi wana kujua kwa mengi na sifa nyingi ulizo nazo.

Katika maombi yetu leo tuna simama na wewe kama mwana wa Mungu, balozi wa siri za kristo, tuna kuombea mwaka huu ukawe mwaka wako utakapo imba wimbo mpya. >>>Mwaka huu@paulmakonda Mungu akupe haja ya moyo wako, mwaka huu @ paulmakonda ukumbukwe na Mungu, mwaka huu Mungu akupe kicheko, mwaka huu Mungu abadili jina lako na kukupa jina jipya….

KUMBUKA UTAKAPOKULA, KUNYWA na KUSHIBA usimsahau Bwana Mungu wako. >>>Mungu aongoze hatua na miguu yako, hekima ya Mungu iwe juu yako, ukaongoze wana Dar es salaam kwa upendo, upate kibali mbele ya wakuu na watu unaowaongoza.. Mtangulize Mungu kwa kila jambo.. jina la Yesu litukuzwe AMEN – Christina Shusho
 
.....mwaka huu Mungu abadili jina lako na kukupa jina jipya….
AMEN – Christina Shusho
yeah right, haya maombi anaweza kujikuta anamuombea jamaa awe na "jina jipya" afu hilo jina likawa ni lile ambalo mlengwa wa maombi alitaka awe nalo Tundu Lissu September 2017.

if i were her i would be very careful on how/when i pray for these Draculas!
 
Ameomba kama kimafumbo vile
 
yeah right, haya maombi anaweza kujikuta anamuombea jamaa awe na "jina jipya" afu hilo jina likawa ni lile ambalo mlengwa wa maombi alitaka awe nalo Tundu Lissu September 2017.

if i were her i would be very careful on how/when i pray for these Draculas!
Duh. Watu kwa maneno
 
Back
Top Bottom