Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

Muda wote mkuu..!!!
Marco Chali
Mika mwamba
Master Jay
P-funky
Dx Noise maker Record(Arusha)
Kameta
Saidi Comorien jamaa alikua anapiga vinanda mpaka basi sijui yuko wap.
Man Walter
Hao wote wametengeza ngoma na zimehit kimataifa
Asante man walter nilimsahau hla n n0ma
 
Jamani msiwape watu ujiko usio na tija kwao.....Bongo hakuna ma-producers wa ukweli, wote ni uchwara tu. Majani si ni huyu ambaye akili yake imeungua bangi au kuna mwingine mwenye akili timamu?
 
1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)

5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
mika mwamba
p funk majani
alan mapigo shente
said comorien
enrico
pancho
hermy b
man wolter
boni love
master jay
bizzman
hao wengine wa kawaida sana.
NB.
producer mzuri ni yule anayetengeneza best song na siyo hit song.@darrengold am out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom