Msanii Hamis Mwinjuma aka mwanafa ameweka wazi kiasi cha pesa walicholipwa na kampuni ya simu iliyokuwa ikitumia nyimbo zao bila ridhaa.
Msanii Mwanafa na AY waliishitaki kampeni hiyo ya simu...
Hello JF:
Msanii wa muziki wa bongo Fleva na CEO wa Lebo ya konde Gang Harmonize wikiendi alijikuta katika hali ya tafrani baada ya kukataza watu kutumia jina la #Kondeboy kwa mchezaji wa Simba...
Nawasalimu wakuu,twende moja kwa moja kwenya Mada.
TUPAC AMAR SHAKUR alizaliwa mnamo tarehe 16 mwezi juni mwaka 1971 ni mtoto wa kiume wa mwanamama AFENI SHAKUR ambaye alikuwa ni mwana harakati...
KAMA ulikuwa unadhani ile ishu ya Harmonize n Sarah juu ya kitendo cha nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya kumposti mtoto akidai ni wake imeisha, pole.
Kwani wazi ni hatma ya ndoa ya wawili hao...
Mrisho Mpoto wa awamu ya JK alikuwa wa moto kweli, kila nyimbo ni fire.
Ila huyu wa sasa toka aamue kuunga mkono juhudi hata sielewi, maana vya kuimba zile tungo zake ni vingi kweli ila yupo...
Vipindi vingi vya miziki ni Bongo Fleva, utasikia top ten ya bongo fleva. Hutosikia wanapiga sebene la Nyosh El Sadat wala Patcho. Ila sasa ikitokea Alikiba kaimba sebene kama Chekecha au Mwanadar...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawaida KUBWA LA MAADUI nitachambua kauli yangu kwa kina. Well researched, well written, full detailed. Throw...
Watu wengi walisubiria kwa hamu sana kuona jokate ata post nini kuusu alikiba kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu sana akapost maneno ya lugha ingine kabisa nakuwaacha wambea hoi sasa kwa kua...
Sikumbuki ni mwaka gani,MH TEMBA aliimba mwaka wa shetani na wala sijui aliwaza nini au kitu gani kilimsukuma je nawe ukitaka kuimba wimbo mwaka huu utauita mwaka wa.....?
Kama kichwa cha uzi kinavyojipambanua, wasanii watatu waliotikisa mwaka huu 2016 unaoisha ni
1. Darassa
2. Ally Kiba
3. Chegge
Acha ubishi, tupe na wewe list yako ya Wasanii unaoona walitamba kwa...
Naimani hii ngoma itakuwa sio mchezo, akiwashirikisha Jah Prayzah na P square. Pia wafanye tour show ya East Africa wafanye show moja Dar, show moja Mombasa na show moja Kigali. Tosha kabisa...
Huyu mwanadada wa Bongo Fleva aliyewika kwa wimbo wake wa kizunguzungu,upepo,umependeza,nashukuru umerudi yuko wapi ?
Kwa mwenye kufahamu alipo na anafanya nini aseme nimemiss sana uwepo wake...
Ulale pema bk wa TMK mapanga/
ulale pema Steve 2 k/fadha nelly langa/
ulale pema Albert mangwair/John mjema mapacha/ Ni njia Moja tunayoelekea nitafuata/
ulale pema remmy ongala/ kweli kifo hakina...
WanaJF kuna rumours hapa mtaani na vijiweni kwamba kampuni mpya ya ndege ya "COMMUNITY AIRLINES" ni ya Anthony Diallo naomba mwenye kufahamu atumwagie tupate ukweli. Kama ni yake kapata wapi pesa...
Hellow JF,
Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fair kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa...
Peter Temba in Moshi
Daily News; Sunday,January 13, 2008 @20:03
MOSHI Urban MP Philemon Ndesamburo has purchased a 5-acre plot at
Kiboriloni area, to relocate over 1,000 traders currently...
Karume alia mbele ya Kikwete
NA Saed Kubenea.
Rais wa Zanzibar Aman Abeid Karume, alilia katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijijini Butiama wakati akipinga kuwepo Serikali ya pamoja...