Harmonize atangaza bifu na Kondeboy wa Simba, amkataza kutumia jina hilo mashabiki wa Simba wamshambulia

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Hello JF:

Msanii wa muziki wa bongo Fleva na CEO wa Lebo ya konde Gang Harmonize wikiendi alijikuta katika hali ya tafrani baada ya kukataza watu kutumia jina la #Kondeboy kwa mchezaji wa Simba akidai linatumika kimakosa kwani ni jina lake na angeombwa kulitumia.

Screen-Shot-2020-12-07-at-15.20.32.jpg


Baada ya Ujumbe aliopost mchambuzi wa soka Tanzania Shaffih Dauda ya kuwaomba mashabiki wa soko kutoa maoni yao kuhusu kiwango cha mchezaji wa Simba Miquissone alichokionyesha katika mchezo dhidi ya FC Plateua ya Nigeria na mashabiki kuanza kutoa maoni yao ndipo Harmonize alipokuja ku cooment na kumwambia Shaffih dauda kuwa ”

Baba hilo jina is a brand usiligawe bila makubaliano, ana mtoto anaitwa Zurekha umeongea naye mmekubaliana kuuza jina la baba yake ?

Huo ndio ulikuwa ujumbe wa hamonize , vipi kuhusu wewe una maoni gani kuhusiana na hili…?
 
Huyu dogo anaanza kuwehuka huyu! Watu wake wa karibu wawahi kumpeleka hospitali akapimwe akili, acjeishia mirembe!...

Hivi kulikuwa kuna haja gan kumtaja #mwanae ambaye kwa mujibu wa ex wake mzungu anadai kajibambika?

Hii ni dalili ya KUCHIZIKA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom