Diamond Platnumz unakosa heshima kwa Ruge, umemtaja Kusaga pekee

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,417
Hellow JF,

Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fair kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa sana kwa Diamond hapa alipofika leo kituchochote chenye mafanikio mwanzo huwa mgumu sana ikumbukwe bila CLOUDS Media Diamond huwenda asingefika hapa alipofika sasa.

Mchango mkubwa wa Kaka yake Romy Jonson kufanya kazi CLOUDS katika kipindi Cha music na aliponza kupiga nyimbo ya diamond (NENDA KAMWAMBIE) nakupewa barak zote kutoka kwa Ruge kushiriki FIESTA hapa ndio mwanzo wa Safari yake ya music namafanikio yake kwa ujumla.

Nimepata msukumo wakuandika haya nilipopata wasaa wakuisikiliza wimbo mpya wa Diamond ft Koffi Olomide Tittle Waah!!! hakika sikusikia Ruge lakin Kusaga alisikia naweka nukta hapa.

Uzi tayari.
 
Diamond-Ruge-Mtahaba-pamja-na-mwanamitindo-Millen-Magese.jpg
 
Wewe jamaa bwana

Mimi nilidhani kaulizwa awataje watu waliochangia kumsaidia apate mafanikio then Hakumtaja ruge

Kumbe ni issue ya kumpaishq mtu tu katika nyimbo

Daahh !!! Acha tu ccm waendelee kutawala hili taifa .vijana wengi ambao ndio wenye nafasi ya kulikomboa hili taifa kutokana na wingi wao walionao katika jamii bado ni hamnazo
 
mkakati wa kibiashara:
jinsi unavyozidi kumzungumzia ndo unavyozidi kumpaisha kisanaa.

mfano; ndo mana unakuta leo hii kila nyimbo anayotoa konde anamdiss mondi ili azungumziwe(kupaa kisanaa)
 
Hellow JF,

Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fear kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa sana kwa Diamond hapa alipofika leo kituchochote chenye mafanikio mwanzo huwa mgumu sana ikumbukwe bila CLOUDS Media Diamond huwenda asingefika hapa alipofika sasa.

Mchango mkubwa wa Kaka yake Romy Jonson kufanya kazi CLOUDS katika kipindi Cha music na aliponza kupiga nyimbo ya diamond (NENDA KAMWAMBIE) nakupewa barak zote kutoka kwa Ruge kushiriki FIESTA hapa ndio mwanzo wa Safari yake ya music namafanikio yake kwa ujumla.

Nimepata msukumo wakuandika haya nilipopata wasaa wakuisikiliza wimbo mpya wa Diamond ft Koffi Olomide Tittle Waah!!! hakika sikusikia Ruge lakin Kusaga alisikia naweka nukta hapa.

Uzi tayari.
Mkuu kama kweli alimsaidia sidhani kama alitegemea shukrani. Na mtu kukushukuru siyo lazima na nadhani kwenye wimbo kataja watu wachache. Hakumtaja Bob Jr, Papaa Misifa, na wengine. Angetaja wote wimbo ungejaa
 
pale aliposema Joseph Kusaga, angemaliza tu na Ruge Mutahaba angekata mzizi wa fitina ingekaapoa sana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom