Diamond Fanya collabo na Jah Prayzah na Psquare

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,953
Naimani hii ngoma itakuwa sio mchezo, akiwashirikisha Jah Prayzah na P square. Pia wafanye tour show ya East Africa wafanye show moja Dar, show moja Mombasa na show moja Kigali. Tosha kabisa. Diamond aangalie madansa wake hawana Pumzi wanacheza kidogo wanachoka. Dansa anatakiwa akate kiuno mwanzo mwisho, sio lazima wacheze wote kwa wakati mmoja wanaweza wakawa wanapokezana ili kutengeneza continuity.
 
"Dansa anatakiwa akate kiuno mwanzo mwisho, sio lazima wacheze wote kwa wakati mmoja wanaweza wakawa wanapokezana ili kutengeneza continuity."

hahaha mkuu umezingua
 
Back
Top Bottom