mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,124
- 1,744
mimi nimpenzi sana wa kusikiliza redio za ndani ya nchi na nje, huwa natumia Tune In kusikiliza redio nyingi sana za nje kule napenda HOT108JAMZ na IheartRadio pale kenya NRG, KISS nawakubali, Nigeria Soundcity, hapa Bongo EA Radio, TIMESFM, KINGS FM ya Njombe, RADIO5 EFM, Clouds huwa nasikiliza Power Breakfast,
Nimefatilia kwa muda sasa upand wa TV Station, kila moja naona ina maudhui yake na ni seme nimeilewa ETV, ila CLOUDS PLUS nimeilewa sana
Clouds Plus japo haina muda mrefu ila ni channeli nzuri sana kwa upande wa ung'aavu pamoja na programs, nimeona wanaprogram nzuri sana, natabiri kipindi cha MTAZAMO cha Masoud Kipanya na Zainab Chondo kitafika mbali sana, ni kipindi bora cha habari kuliko hata Clouds Habari, vipindi vyao vina mpangilio mzuri kushinda vya Clouds Tv, wakiendelea hivo Clouds Tv haitaambulia kitu,
TVE kipindi chenu cha Point3, na TVE Habari ni ze besti, wasomaji wenu wa habari wana sauti zenye mamlaka pia background music ya habari iko poa ile mbaya.
CLOUDS PLUS is the channel to watch 2020