Rapa Lil Wayne huenda akafungwa miaka 10 jela kwa kumiliki bunduki ya dhahabu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani Lil Wayne huenda akapewa hukumu ya miaka 10 jela baada ya kukiri kumiliki bunduki ya dhahabu pamoja na risasi kinyume cha sheria.

Lil Wayne mwenye umri wa miaka 38 amekiri kuwa na bunduki hiyo wakati alipokuwa akisafiri kuelekea Florida kwa ndege binafsi mnamo Desemba mwaka jana.

==============================

US rapper Lil Wayne pleaded guilty Friday to possession of a firearm by a convicted felon over an incident dating back to last year, US media reported - a federal offense that could see him sentenced to up to 10 years in prison.

The 38-year-old artist, whose real name is Dwayne Michael Carter Jr, was found to be carrying a gun and bullets when police searched a private plane in Miami in December last year.

"Your honour, I plead guilty," he reportedly told US District Judge Kathleen Williams during a virtual hearing.

The Miami Herald said that Lil Wayne - who has a home in south Florida - admitted the gold-plated pistol found in his luggage was his. He told police the weapon had been given to him as a Father's Day gift.

Police also found what was believed to be cocaine, marijuana, ecstasy, heroin, painkillers and more than $25 000 in cash, the newspaper said.

But the sole federal weapons charge filed in federal court in Miami stems from the fact that Lil Wayne was convicted more than a decade ago on a separate firearms charge.

Convicted felons are barred from owning firearms under federal law.

The five-time Grammy winner - who more recently made headlines for meeting with and voicing support for President Donald Trump - will face sentencing on 28 January.
 
Weka kapicha

images.jpg

Hivi kwanini huwa hawazimiliki hizi bunduki vigezo vya kumiliki ni rahisi sana huko lakini mbona hii imekuwa Ni kesi maarufu sana kwa wasanii weusi wa America??
 
Pole yake

Ila atajifunza maana miaka 10 jela kwenda kupiga punyeto na Kula chakula kibovu na madhila mengine ya kutosha atatia akilini
 
Sijajua kwanini, kesi za kumiliki bunduki kinyume na Sheria ni nyingi Sana US. Sijajua kwanini? Hasa kwa wasanii.
 
Katoka kulipwa dola millioni100 juzi tu huyu
Kauza masters tape yake aise
Ila hawa black rappers wanajitafutia matatizo
Wenyewe wao wangejua kuwa wako wenye target
Na feds lkn kutwa wanajipalia moto

Ova
 
Sijajua kwanini, kesi za kumiliki bunduki kinyume na Sheria ni nyingi Sana US. Sijajua kwanini? Hasa kwa wasanii.
Wasanii wengi sahv especially rappers ni kama wamekuwa targeted eidha kutokana na criminal history yao na mambo mengine
Ila hawa Marapa waache usela mavi na kujihusisha na magang maana inawagarimu

Ova
 
Ila wamarekani bwana wana upendo sana na mabunduki nilishawahi kumuona babu John McAfee akionesha mibunduki anayoimiliki eti ili kuwaogopesha wanaofikiria kwamba kwa sababu yeye ni mzee sasa ndii easy target
McAfee siku hizi kawa kama chizi yani.
 
Back
Top Bottom