Sad News: The Weeknd, Diamond, Rayvanny na Zuchu GRAMMY hawajapata haki yao

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Habarini Wana jamvi:

Kiukweli Grammy zimepoteza credibility yao Kama ya zamani,na hii imejidhihirisha kutokana na ubaguzi na kutokuwaweka wasanii ambao wanastahili kuwepo kwenye nomination zao. Hii imetokea kutokana na wasanii nguli wenye vigezo kutokutajwa katika kipengere chochote.

Mtu Kama the weekend pamoja na album take ya after hours inakosaje hata nomination moja...!!!???,wimbo Kama blinding lights inakosaje hata song of the year wakati umedumu top 10 billiboards kwa siku 51 mfululizo.

Na kwa maana hii,ndo maana the weekend amezishutumu,yaani unamuweka Justin bierber afu unamuacha the weekend...?na album yake ya mwaka?

Justin bieber nae kalalamika eti wamemuweka category ya album Bora ya pop na sio r&b,ashukuru hata hapo maana amebebwa Sana.

Mtu Kama master KG anakosaje hata category moja, halafu Burnaboy anapata au ndo P. Diddy kaonga mkwanja mrefu Sana..?maana nasikia yeye ndo executive producer.

Mtu Kama Diamond Platnumz anakosaje category ya video of the year,wakati sote tunajua kuwa hakuna creative wa video Africa Kama SIMBA, Kama sio huujumu ni nini?

Mtu Kama Rayvanny unakosaje album of the year globally kwa kitu Cha flowers...!!!???au tatizo connection,lugha,pesa maana kaitendea haki.

Zuchu ameonewa,yaani unachukua best new comer Africa ,afu unakosa nomination hata moja...!!!???

N.B: DIAMOND, RAYVANNY,ZUCHU,THE WEEKND KUKOSA NI FUNZO KUWA KANYE WEST KUZITUPA CHOONI NA KUZIKOJOLEA INAUKWELI KUWA WANAPENDELEA.
 
Back
Top Bottom