Wakuu, kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kujua umiliki wa DIZZIM naona kabisa kua nayo ina iwekezaji wa Diamond Platniumz ndani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
This young man is a good artist sijui kwanini hakubaliki sana kwenye contemporary bongo music. Nimeusikiliza wimbo wake 'umetuacha imara' kama tribute to the late JPM nikagundua he's a smart...
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.
Jambo hili...
Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo Mbosso mwenyewe na kuna ishu za watumwa kuchapwa n.k
Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa!
Kwan kuna shida gani.
Lakin ile ni...
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.
Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.
Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu
Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha...
Naanza na Msanii Roma Mkatoliki. Salute kwake kwa msimamo wake usio na shaka kutetea haki, umoja na ustawi wa taifa letu.
Natamani Mama Samia amkaribishe nyumbani tena aachane na wanafiki.
Kisanga kilitokea katika kanisa moja eneo la Buchinga baada ya majamaa kufokea vikali mtumishi wa Mungu kwa madai alikuwa akiwapendelea akina dada katika mahubiri yake.
Mdakuzi alisema kwamba...
Rosa Ree
Chemical
Stosh
Pinky
Tammy the Baddest
Cindy Rulz
Frida Amani
Chiku k
Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
RAPA Hormorapa aliwahi kutoa ngoma “Kiboko ya Mabishoo”, alipigwa tafu na Mfalme wa Temeke, Sir Nature. Hivi Harmorapa ana ukiboko gani wa mabishoo?
Kuna mdada, mrembo sana, demu tu. Ukimwona...
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika.
Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa...
Mambo vipi?
.........
Label ya muziki Tanzania, WASAFI ( WCB)
ni label kubwa sana hapa bongo,lakini pia imekua na matukio mengi mazuri na mabaya Kuhusu management nzima.
Leo jamaa Salam SK...
Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania...
Lazima tukubali huu utatu wa mameneja wa WCB wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa.
Ni ukweli usiopingika hata wewe unaesoma hapa, mtoto wako akiwa na kipaji kikubwa cha kuimba. Ukiambiwa...
MMILIKI WA GARI ALIYOPATA AJALI MAREHEMU SHARO MILLIONEA AJITOKEZA na KUSEMA HAIDAI CHOCHOTE FAMILIA YA MAREHEMU
MMILIKI wa gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na msanii maarufu nchini...
Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli.
Akiongea na kituo cha...
Mkali kutoka nigeria burna boy hii wiki imekua ya neema sana kwake baada kushinda Tuzo ya Grammy,na siku ya Jana mkali justin Bieber ameachia album yake yenye nyimbo 16 moja kati ya ngomq hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.