Wimbo wa Mbosso “Yalah “ ilifaa ufungiwe?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo Mbosso mwenyewe na kuna ishu za watumwa kuchapwa n.k
Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa!
Kwan kuna shida gani.

Lakin ile ni

Psychological warfare

Inferiority complex

Surrender psychology

Vitu ambavyo n hatari katika taifa lolote kuvifundisha kwenye jamii yake au wananchi wake!!
Kwasababu vinadevalue race ya watu fulan na kuonekana kua race flan ndo iko juu kuliko nyingine!!

Vinaonesha ye anakubaliana na utumwa na anafundisha kizazi chake kua n watumwa and its fine with that!!!...

Misingi ya nchi kuendelea au taifa kuwa kubwa na lenye nguvu

- spirity ya superiority complex”

“Huwez shida vita au kumshinda adui yako kama unajiona we n dhaifu au si lolote”
Huu ndo ukweli!

Basata ingien kazini
 
Hao si ndio wale wanao iga kila upuuzi kutoka Saudia! Ni haki yao kuwa na ifnferiority complex! Mara nyingi hupenda kujiona na wenyewe kama vile ni hao waarabu!

Wakifunga ndoa unakuta wamevaa kanzu na majambia kama waarabu!
Sasa unajiuliza yale mavisu yana kazi gani kwenye harusi!! Jibu haliji!😇
 
Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo mbosso mwenyewe n kunaishu za watumwa kuchapwa n.k
Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa!
Kwan kuna shida gani.

Lakin ile ni

Psychological warfare

Inferiority complex

Surrender psychology

Vitu ambavyo n hatari katika taifa lolote kuvifundisha kwenye jamii yake au wananchi wake!!
Kwasababu vinadevalue race ya watu fulan na kuonekana kua race flan ndo iko juu kuliko nyingine!!

Vinaonesha ye anakubaliana na utumwa na anafundisha kizazi chake kua n watumwa and its fine with that!!!...

Misingi ya nchi kuendelea au taifa kuwa kubwa na lenye nguvu

- spirity ya superiority complex”

“Huwez shida vita au kumshinda adui yako kama unajiona we n dhaifu au si lolote”
Huu ndo ukweli!

Basata ingien kazini
Tatizo unaponda sana acha kukaza fuvu
 
Wazee wenu wapuuzi walitumikishwa na watu wachache wenye mijeledi lazima ukweli usemwe...

Yani watu mia mnatumikishwa na watu watano?
 
Nyie si mlishawahi kuwa watumwa wa mwarabu sa hv mnajifanya kuwakana , acheni hzo mazee

Siyo sisi mzee!!! Labda kama wewe!! Ni mababu zetu so uzembe wao usiturisishe nasisi !! sisi wabishi kama wachina
 
Back
Top Bottom