Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle...
Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of...
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ...
Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha...
Tangu muziki wa kizazi kipya 'BongoFleva' umeanza kutamba kumejitokeza nyimbo nyingi za wasanii mbalimbali ambazo zimefanikiwa/zilifanikiwa kuvuma kiasi kwamba hata watoto wadogo...
Wakati Mbeya fm inaanzishwa kuna mtangazaji mmoja alikuwa akijiita tolu wa ajabu. Kipindi hicho tulikuwa tunaiona radio hiyo ya kizembe sana. Kiss ndiyo ilikuwa inabamba.
Sasa nimeambiwa kuwa...
Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana' ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.
"Nawapenda...
MTANZANIA AIBUKA KWENYE VIDEO INAYOTREND DUNIANI
Kuna Video inayotrend kwa sasa Duniani
Inayowaonyesha Vijana watatu waliovalia Taulo nyeupe Wakivuka barabara huku walicheza huko Washington...
Kuna mtangazaji wa kipindi hicho kila anapoita celebrity kuja kufanya naye mahojiano akiona kapendeza au kaja na kitu kizuri sana ana msemo mmoja kama wa kuidharau nchi yetu kwa kusema mfano...
Tusiongee Sana, hivi msanii akitoa wimbo ukawa na views wengi inamaana ndo mziki mzuri , au views inategemeana na popularity ya aliyeutoa mziki huo.
Kwasababu Kuna miziki ukisikia ni ya kawaida...
Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za...
Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending.
Jabali...
The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school.
The photograph was taken at Kensington...
Freddie Mercury alizaliwa King Stone Zanzibar na kukulia visiwani humo kabla ya Wazazi wake kuhamia India na baadaye Middlesex England
Kwenye ulimwengu wa burudani jina lake linatambulika kama...
Wandugu japo mimi sio mhenga lakini huwa nina mtindo wa kusikiliza nyimbo za zamani hivyo nimeskiliza nyingi sana hata nilipowahi kuwa dj ujanani nilizipiga na mzee wangu anazo nyingi.
Sasa kwa...
Leo nimeukumbuka ule wosia wa Jide kwa Watanzania endapo atafariki kabla ya Ruge na Kusaga. Namaanisha huu > Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa - JamiiForums
Humo...
Jackie (sijui inaandikwa hivyo) yupo jela huko China kwa kesi ya kukamatwa na dawa za kulevya. Miaka kadhaa sasa.
Ni video vixen. Fashion Model. Slay queen. Paper chaser na hardcore japo mrembo...
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti...
Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh.
Amefariki dunia baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.