Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda.
Hivi kweli kiburi...
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi...
Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati...
Wakuu Habari ya Kazi Mwanamuziki Hamisa Mobetto alieachia wimbo wake mpya wenye mahadhi ya singeli uitwao Ex Wangu Remix akishirikiana na msanii wa singeli Seneta Kilata, mpaka sasa imetazamwa...
Wakuu Kwema!
Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake...
1. Kuna wanaolalamika eti madogo pale WCB wanalaliwa na Mondi, naomba mjue kwamba WCB ni biashara ya Mondi so yupo pale kumake hela kupitia akina Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Tale, Sallam, Laizer...
Yule muongozaji wa kipindi cha Nirvana Kwa nyakati zile anarudi tena sio Mwingine ni Deogratus Kithama, Siku za hivi karibuni ataendelea na Nirvana kama awali (Nimesikia tangazo hilo EA Radio)...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni ............. nimeamini kweli biashara Matangazo!!!! msanii wa bongo movies - pichani kaamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali...
Mimi ni mpenda comedy sana hasa za nje. Awali nilikuwa nikizitazama hizi za Bongo za kina Kingwendu, Majuto n.k lakini sasa natazama za nje za kina Charlie Chaplin, Buster Keaton na wengine walio...
Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY "...
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano, hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta...
Huku zinaa ndio ujanja,uchamungu ni Ushamba"
Huku Mtoto Kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida,
Huku kuvaa nusu uchi ndio urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona...
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la...
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.
Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.
Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani...
Kwa wanaJF wakongwe hasa wale walioishi Arusha wanaweza kumkumbuka mwanamama HIDAYA (mwanamke wa kwanza kumiliki Toyota pajero ndani ya jiji la Arusha) aliyeimbwa na jitu la miraba minne PEPE...
Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena...
Seems some of you don't understand so let me explain further.
Nassib Abdul also know by his stage name Diamond Platnunz doesn't have the best vocals,
He isn't the best at songwriting,
He isn't...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro...